BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,322
Wadau wa jamvi hili je mwanamke anapokuangalia kwa jicho la wizi kila mnapokua karib iwe ofisini ama sehem yoyote tu ambayo hua kwa namna moja ama nyingine mtakutana tu hua anamanisha nini au anakupa ujumbe gani kila na wewe ukimuangalia ghafla na yeye anakuangalia mnakutanisha macho halaf anaendelea na shuhuli nyingine... Halaf ukijifanya humuangalii kwa pemben kabisa kwa namna flan ukiyaweka macho yako ili usijue unamuangalia, unakuta anakupiga jicho flan la Wizi...
What do they real mean women when they do this !!!
What do they real mean women when they do this !!!