Mwanamke anaolewa kwa vitu vinne

Mwanamke anaolewa kwa vitu vinne

Hadithi imejikita zaidi kwa uwazi na ikamalizika kwa mtume kusema kua muoe yule mwenye DINI utabarikiwa

Nadhani hili ndilo la kuzingatia zaidi

Kama ninavyo fahamu majukumu kamili mwanaume ndiye anapaswa kumtimizia mkewe

Ila ata saidiwa na mke ikiiwa mume ana dharula ya kua labda mume hajiwezi ki mali

Lakini si kukaa na kutegemea mali ya mwanamke hapa utapata unacho kitafuta.
Upo sahihi sana mkuu[emoji1666]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zikiguswa hela zenu dada zangu mnalalamika.
Kivipi??
Ngoja kwani ukimsaidia mtu kwa moyo ukiwa nashida yeye kwanini asikusaidie unajua ukimsaidia mtu anayekupenda nikama umeweka akiba ila kama humsaidii hata mie sikupi aisee
 
Nikweli kabisa ila ongeza nakumtunza na kumpenda kwa maana usipoweka hilo mke wako atazeeka kama akija tu kazi yake nikuliwa tu na kuzaa atazeeka so tambua hilo ila kweli lazima ujue kina kidogo cha familia yao ipoje
 
Kivipi??
Ngoja kwani ukimsaidia mtu kwa moyo ukiwa nashida yeye kwanini asikusaidie unajua ukimsaidia mtu anayekupenda nikama umeweka akiba ila kama humsaidii hata mie sikupi aisee
Kwani msaada lazima uwe ni fedha?
 
Mwanamke mzur hakikisha amekupenda pia ,kama umemuoa Kwa nguvu ya pesa nakuhakikishia Kati ya watoto watano wawili sio wako
Hili halina mke mzuli wala mbaya uzinzi ni tabia ya mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom