Mwanamke ananikatalia kumuona mtoto

Mwanamke ananikatalia kumuona mtoto

Achananae ila jitahidi utie mimba mapema tena kWa huyo mpenzi mpya
 
Kweli heee! Tulikutakana tareh 06 na 07 Mwezi w 8 2015 kajifungua tarehe 15/04/2016, mbona naona incubation period inaangukia 9 months na siku kadhaa
Ebu nidadavulie mkuu, si unajua papara za kutaka mtoto pia zinaweza kuwa zinasababisha.
Huyo anataka kukupotosha ukweli kama mlikutana hizo tarehe hiyo mimba % zote ni yako labda hayo maswala mengine mliyopishana.
 
Ushauri mkubwa msiwe mnazaa zaa huku na kule jamani mnawatesa watoto, labda itokee sababu zilizo nje ya uwezo kama vile mwenzio afariki, kama unaona au bado hujawa na uhakika na ndoa bora utumie condom....
Mwisho nakuombea huyo mtoto asiwe wako usiniulize kwa nini.
 
May labda kwa jinsi ulivonielewa kwa bado sijakomaa ila mi najijua nimekomaa, na Mipango yangu ni thabiti
Documentation kwangu ni muhimu, ninalo file la nyaraka mbali mbali za Manunuzi na mambo mengine
Ninao uwezo mzuri tu wa kuhudumia lkn ndo vikwazo vidogo vidogo
Hiyo sio story ya kutunga ndo hali halisi
Poa mkuu wa mipango thabiti na kupiga peku bila kuchunguza kama wazazi wake na wa kwako ni wabaguzi kidini wala kutotafakari kama demu anakubana sana lakini ukajilipua mzae mtoto

Mipango thabiti na uzembe jalili... lethal combinenga!!
 
Ahsante kaka, nami nimekuwa na hofu sana na jinsi anavyojiamini, huenda tupo mtu 2, nadhani ushauri wako unafaa kiasi flani

Wakati ndo huu! Sijayasikia kwa mtu yamenikuta. Anajiamini nini? Wengine hupiga magoti utokezee angalau wamjue baba mtoto! Huenda kuna mshikaji anajulikana wewe ni wa kutoa tu hela.Subiri utatumwa na kwa wajomba zake na mashangazi na utalazimishwa kuwaachia hela. Yaani hawa viumbe wasikie tu kwa wenzako. Kama vipi gharamia kitu kimoja.Fungua kesi mahakamani uombe DNA akikubali/akigoma lipa af ukisha hakikisha ni wako toa matumizi kadri ya uwezo wako kuepuka lawama za mtoto atakapokua. Otherwise utazunguushwa mpaka basi. Mi this time hata salam sitoi.Kwetu anapajua, na wewe uelewe ipo siku nafsi itamsuta hata kama ni ukubwani atakuja tu. Na utamueleza tabia za mama yake ambazo ndo kisa cha kutomlea mwenyewe. Yaani anavojishebedua mbona anakupunguzia uzito wa majukumu!
 
Nimekuelewa kaka, nitafanyia Kazi , naweza kuwa nafanya mambo kuwa magumu kumbe mtoto si wangu, nitajiridhisha na vipimo akiridhia
 
Hiyo si hela ya saloon ya siku moja my dear???

Hahahaha basi bajeti yako kwa matumizi ya nywele ni kubwa
Mi mchumba wangu nikimpka 30000 ya nywele anarudisha 25000, kwa ajili ya matumizi mengine ya kwake
Off course tumeweka Malengo ya vitu flani mpk tuviattain , nikijisahau ananikumbusha.
 
Poa mkuu wa mipango thabiti na kupiga peku bila kuchunguza kama wazazi wake na wa kwako ni wabaguzi kidini wala kutotafakari kama demu anakubana sana lakini ukajilipua mzae mtoto

Mipango thabiti na uzembe jalili... lethal combinenga!!

Mi wa kwanza kupiga peku!!! Au ni wa kwanza kuzalisha!!! Wadada wengine huwa wanajitengenezea mazingira ili waolewe, hivyo ukioa mtu kwa huruma ya mimba au mtoto bila pande mbili kukubaliana nadhani ndoa yenu inakuwa na kasoro.
 
Ushauri mkubwa msiwe mnazaa zaa huku na kule jamani mnawatesa watoto, labda itokee sababu zilizo nje ya uwezo kama vile mwenzio afariki, kama unaona au bado hujawa na uhakika na ndoa bora utumie condom....
Mwisho nakuombea huyo mtoto asiwe wako usiniulize kwa nini.

Hahahaha well said Dada Eve
Condom ziliisha saa 8 za usiku wkt dungio ndo lipo kweny chorus
Nami sipendi watoto wa nje maana madhara niliyoyapata kulelew na mzazi m1 yananiumiza sana.
Nilijitunza vizuri na nilikuwa na clean sheet ila hii kitu imenichafulia, nitarudi majini nianze upya
 
Huyo anataka kukupotosha ukweli kama mlikutana hizo tarehe hiyo mimba % zote ni yako labda hayo maswala mengine mliyopishana.

Ahsante Nao. Maana nimempigia rfk angu daktari , kasema kwa hizo tarehe iko vizuri tena nurse mmoja kaniongezea ujuzi wa kutabiri siku ya kujifungua kwa kujua mzunguko wa MP na tarehe ya kushika mimba
 
  • Thanks
Reactions: nao
Naumia sana, namuomba niende kumuona hataki, nikituma hela anapokea vizuri ingawa leo kanijumlishia hela yote nilokwisha tuma jumla 215000 ambazo ni kidogo , na mm nakiri sikuwajibika ipasavyo kwa sababu sikushirikishwa ipasavyo.

Mkuu usifikri anaweza kukataa kupokea hela hata siku moja hata ukinunua gari, kiwanja bado atavipokea tu hawa hawana maana kwa upande wa material.........

Ww tinga nyumbani kwao kibingwa kama Komando Kipensi vile ongea na wazazi wake utamuona mwanao walaa usimtume mtu aende badala yako .

NB: unaweza kutafuta mzee mmoja wa busara ukaenda nae.

Kila la kheri
 
Wanakufanyia biashara hao wapiga hela kutumia hako ka mchezo ka kuficha mtote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom