nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
Poleni na majukumu ndugu,
Last year nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilikuwa na mpango wa kumuoa na bahati mbaya nilikuja kugundua sitoweza kumuoa kwa sababu
1. Imani ( yeye ni muislam na mimi mkristo ingawa yy alikubali wazazi wake walikataa na wa kwangu pia hawakupenda)
2. Tabia, nilimshindwa tabia yake maana alikuwa ananibana sana kwa wivu mpk nikakosa raha ya mahusiano, pia ni jeuri kwa tabia ingawa na Mimi ni jeuri pia hivyo nikaona hatutaweza kuonana
3. Kabila lake pia wazazi wangu hawakulipenda kbs hasa mama
Wakati flani nilisafiri kikazi kwenda ktk huo mji na baadaye nikaugya huko hivyo nikamwambia baadaye akaja hotelini nilipofikia na kuwa karibu na mimi tena. Hapo ndipo mimba ilishika ilikuwa Aug.2015 na baadaye akanambia ana mimba, nilishtuka nitaenda tukapima ndo nikabaini hiyo mimba ya wiki 2 , akaanza nisisitiza niende kwao, sikukubaliana nae akanitishia hataki kupokea matumizi nikasema pouwa tu, baadaye akawa ananitishia kama ndugu zake watakuja kunitafuta ila nilimwambia waje tu maana hapajui kwangu pia sio mwanafunzi hivyo nilikuwa na amani.
Niliwahi kuomba ruhusa kazini kwenda kumuona lkn nilivofika sikufanikiwa kumuona maana alinikatalia kwa madai kwamba mpk nikamuombe msamaha baba yake kitu ambacho sikuwa tyr kufanya ila nilimpanga dada na ma Mdogo waende huko kwao yy alikataa kwa madai wao hawajampa mimba natakiwa niende Mimi sasa kwa vile vitisho niliiogopa kbs kwenda.
Sasa kajifungua hataki tareh 15 Mwezi huu na sikupewa taarifa, na nilijua baada ya kupiga simu yake akapkea mtu aliyekuwa anamhudumia, hata jinsia ya mtoto siijui, ingawa ananambia amemuita jina la dini yao,
Naumia sana, namuomba niende kumuona hataki, nikituma hela anapokea vizuri ingawa leo kanijumlishia hela yote nilokwisha tuma jumla 215000 ambazo ni kidogo , na mm nakiri sikuwajibika ipasavyo kwa sababu sikushirikishwa ipasavyo.
Napenda mtoto, sipendi ateseke mwanangu , nataka nimuone nimhudumie , ila yeye ananikoromea kwamba mtoto ni wake na ndugu zake maana mimi hawanijui. Baba kanambia niachane naye maana Mwezi w 8 nitafunga ndoa na mpenzi Wang ambaye nimemuelewa, Nami nimemwambia binti Ahsante kwa ushirikiano maana nimegundua Mimi sio mgumbaIla nikikaa roho inaniuma ,Nataka nimleee mwanangu na mpenzi wangu ananisisitiza nisimtelekeze mtoto,
Naombeni ushauri ndugu ZANGU nifanyaje?