Mwanamke anadekezwaje?

Mwanamke anadekezwaje?

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
97
Tokea nimebalehe mpaka muda huu nmekuwa na mahusiano na wasichana tofauti tofauti (hawazidi watano) mambo yote katika mahusiano huwa naplay sawa sawa kabisa isipokuwa moja tu, kudekeza!
kila mwanamke ninayekuwa naye huwa ananilalamikia/ananiambia nina tatizo moja kubwa et sijui kudekeza!!!

Sasa leo nimeona imekuwa too much nimeamua nijifunze, wakuu naomba mnisaidie kunifundisha namna ya kumdekeza mwanamke please.

Nitashukuru saaaana kwa msaada wenu.
 
We piga usepe utamdekeza mke wako kwanza wanawake wa siku hiz waongo usipoteze muda ndugu yangu siku hizi tukipendana leo tunamalizana leo leo
 
ukitoka kazini uwe unampakata...unamuogesha....hakikisha akinya unamchamba.....hapo atajiona yupo peponi...
 
Mpe kadi zako za ATM...Halafu uwe unampeleka na vacation few times a year..
 
We piga usepe utamdekeza mke wako kwanza wanawake wa siku hiz waongo usipoteze muda ndugu yangu siku hizi tukipendana leo tunamalizana leo leo

kuna mmoja nmempata hapa npo naye serious kidogo nataka kuanza kumdekeza mkuu!!
 
Tokea nimebalehe mpaka muda huu nmekuwa na mahusiano na wasichana tofauti tofauti (hawazidi watano) mambo yote katika mahusiano huwa naplay sawa sawa kabisa isipokuwa moja tu, kudekeza!
kila mwanamke ninayekuwa naye huwa ananilalamikia/ananiambia nina tatizo moja kubwa et sijui kudekeza!!!

Sasa leo nimeona imekuwa too much nimeamua nijifunze, wakuu naomba mnisaidie kunifundisha namna ya kumdekeza mwanamke please.

Nitashukuru saaaana kwa msaada wenu.
[h=1]Kudeka/ Kudekezwa[/h]started by Nyani Ngabu (current status-banned)
 
Ningekupeleka kwa King'asti angekupeleka kwa maticha, mtu unadekezwa hadi unaumwa.
 
Last edited by a moderator:
Tokea nimebalehe mpaka muda huu nmekuwa na mahusiano na wasichana tofauti tofauti (hawazidi watano) mambo yote katika mahusiano huwa naplay sawa sawa kabisa isipokuwa moja tu, kudekeza!
kila mwanamke ninayekuwa naye huwa ananilalamikia/ananiambia nina tatizo moja kubwa et sijui kudekeza!!!

Sasa leo nimeona imekuwa too much nimeamua nijifunze, wakuu naomba mnisaidie kunifundisha namna ya kumdekeza mwanamke please.

Nitashukuru saaaana kwa msaada wenu.

ukipata mwingine niunganishe nae nikuonyeshe namna ya kubembeleza
 
Back
Top Bottom