Vijana wa mjini wanazibua tu ata matano yapo ukiendelea kuyatafutaKuna sikio la nne tena mkuu?
Ulimkumbusha babu yako akupe na dawa ya kulizibua ilo la 3??! Imagine km unakiba100, afu vyakula venyewe vya Dar(chips, skonz tatu na soda asubuh), mazoez hakuna. We unazani utawez kulizibua ilo la 3?!!Babu yangu alinisihi kwamba mwanamke Ana masikio matatu, mawili juu moja Chini, wakati huo mwanaume Ana macho matatu na vichwa viwili,.kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi, na macho mawili ya juu uambukiza na la tatu kutaka kuona wakati limefichwa,
Akasema ukitaka mwanamke akuheshimu na kukusikiliza yazibue hayo masikio, ila jitahidi sana kuzibua vizuri la Chini maana ndo linamfanya mwanamke awe kwenye usikivu zaidi, sikio ilo hufichwa sana
[emoji1]Angekua ameishi miaka ya karibuni angesema wana manne
ha ha ha ha una akili sana aiseeAngekua ameishi miaka ya karibuni angesema wana manne
Yaani za kimaandazi kinoma[emoji22] [emoji22] [emoji101]Hizi falsafa zingine nazo...