- Thread starter
- #41
Ha ha ha.Sasa si uzae na mkeo jamani,mambo ya kupatiana nicknames (single mother) mmh. Anyways kila rakheri
Mkuu singo maza walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.!!
Hamna kipya
Ha ha ha.Sasa si uzae na mkeo jamani,mambo ya kupatiana nicknames (single mother) mmh. Anyways kila rakheri
Tujitahidi kupunguza rate kwani hamna mtu anapenda kuwa single mom basi tu hutokeaHa ha ha.
Mkuu singo maza walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.!!
Hamna kipya
,so kama unaweza jitahidi tusizidi kuongeza idadi ,kama vipi oa kabisa uwe na wake 2... halali . ukiwa tayari kuoa kbs wa pili ,mke nipo hapa(joke)
Vip ushazalishwa??Mimi sihitaji mume wa peke yangu wala wakushare!
Nahitaji nikuzalie mtoto unilipe tusijuane tena. Kama uko tayari ni Pm
Labda Kama baadhi wataamua kutokuwa na watoto kabisa maishani mwao.Tujitahidi kupunguza rate kwani hamna mtu anapenda kuwa single mom basi tu hutokea,so kama unaweza jitahidi tusizidi kuongeza idadi ,kama vipi oa kabisa uwe na wake 2... halali . ukiwa tayari kuoa kbs wa pili ,mke nipo hapa(joke)
![]()
Alikuwa anatania tu huyo mkuuVip ushazalishwa??
Mtoto wa jamaa ana umri gan nw
Dooh, haya kila rakheri mkuuLabda Kama baadhi wataamua kutokuwa na watoto kabisa maishani mwao.
Ratio ya 1:1 haipo na haiji kutokea kwa nchi nyingi. Haya mambo hata kwa walizotuletea dini yamewashinda. Ndio maana wameamua kurahisisha talaka. Mnaachana kila mtu anakuwa na mwingine mmoja tu. Lakini katoka kwa mwingine.
Kwenye tangazo nimesema akiamua kuwa mke wa pili haina shida.
Ila akiamua kuwa free ubaba wangu kwa mtoto hautapungua.
Dadeki watu Tupo siriaz Yeye analeta utaniAlikuwa anatania tu huyo mkuu