S saduna Senior Member Joined Nov 4, 2017 Posts 126 Reaction score 71 Dec 1, 2017 #21 Foleni ya ubuyu hiyo
kipusaah JF-Expert Member Joined Oct 15, 2017 Posts 252 Reaction score 243 Dec 1, 2017 #22 Mie napitaaaa
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Apr 23, 2018 Thread starter #23 kipusaah said: Mie napitaaaa Click to expand... Uende na usirudi. Vinginevyo urudi kimya kimya.
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Apr 23, 2018 Thread starter #24 saduna said: Foleni ya ubuyu hiyo Click to expand... Huna uhakika na unachokiongea. Ukiona kitu hukielewi uliza au pita kimya
saduna said: Foleni ya ubuyu hiyo Click to expand... Huna uhakika na unachokiongea. Ukiona kitu hukielewi uliza au pita kimya
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Jul 25, 2018 Thread starter #25 🙁🙁
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,028 Reaction score 52,505 Jul 25, 2018 #26 usungilo said: 🙁🙁 Click to expand... Ulipata?
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Jul 25, 2018 Thread starter #27 Miss Natafuta said: Ulipata? Click to expand... Bado. Naona watu wanataka uwaambie utawaoa kwanza ukishawapa mimba ndio uwakimbie. Ili wakutukane wee!! Kuwa umewaharibu na kuwapotezea muda. Teh!
Miss Natafuta said: Ulipata? Click to expand... Bado. Naona watu wanataka uwaambie utawaoa kwanza ukishawapa mimba ndio uwakimbie. Ili wakutukane wee!! Kuwa umewaharibu na kuwapotezea muda. Teh!
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,275 Reaction score 9,433 Jul 25, 2018 #28 usungilo said: Bado. Naona watu wanataka uwaambie utawaoa kwanza ukishawapa mimba ndio uwakimbie. Ili wakutukane wee!! Kuwa umewaharibu na kuwapotezea muda. Teh! Click to expand... Haha!duh
usungilo said: Bado. Naona watu wanataka uwaambie utawaoa kwanza ukishawapa mimba ndio uwakimbie. Ili wakutukane wee!! Kuwa umewaharibu na kuwapotezea muda. Teh! Click to expand... Haha!duh
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,597 Reaction score 22,338 Jul 25, 2018 #29 rubii said: Nahitaji nikuzalie mtoto unilipe tusijuane tena. Kama uko tayari ni Pm Click to expand... Rudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto.
rubii said: Nahitaji nikuzalie mtoto unilipe tusijuane tena. Kama uko tayari ni Pm Click to expand... Rudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,713 Jul 25, 2018 #30 Mwl.RCT said: Rudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto. Click to expand... Yangu nayatafakari kila kukicha sijamaliza itakua ya huyo asiejulikana?
Mwl.RCT said: Rudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto. Click to expand... Yangu nayatafakari kila kukicha sijamaliza itakua ya huyo asiejulikana?
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Jul 25, 2018 Thread starter #31 Mwl.RCT said: Rudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto. Click to expand... Yawezekana alikuwa anatania
Mwl.RCT said: Rudia kusoma ulichokiandika, kisha tafakari juu ya maisha ya mtoto. Click to expand... Yawezekana alikuwa anatania
babrabae Member Joined Jul 24, 2018 Posts 55 Reaction score 55 Jul 25, 2018 #32 Mimi nasubiri jibu pm
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Jul 26, 2018 Thread starter #33 babrabae said: Mimi nasubiri jibu pm Click to expand... Karibu.
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Jul 26, 2018 Thread starter #34 rubii said: Yangu nayatafakari kila kukicha sijamaliza itakua ya huyo asiejulikana? Click to expand... Mengine yanaweza kupewa suluhu na asiyejulikana
rubii said: Yangu nayatafakari kila kukicha sijamaliza itakua ya huyo asiejulikana? Click to expand... Mengine yanaweza kupewa suluhu na asiyejulikana
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,713 Jul 26, 2018 #35 usungilo said: Mengine yanaweza kupewa suluhu na asiyejulikana Click to expand... Basi sawa
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Jan 3, 2019 Thread starter #36 .
U usungilo JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 522 Reaction score 332 Apr 18, 2019 Thread starter #37 Tangazo Bado lipo. Nafasi haijapata mtu. Kwa wanaodhani wanaweza kukubaliana karibuni.!!
happymwashi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 980 Reaction score 847 Apr 18, 2019 #38 Hahahahahahahaha
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,066 Apr 18, 2019 #39 Duh!! Wanawake wako tayari kuzaa na mwanaume asiyeeleweka na waanze kuteseka. In short huwa wanapenda kutiwa mimba bahati mbaya au kwa kuvizia
Duh!! Wanawake wako tayari kuzaa na mwanaume asiyeeleweka na waanze kuteseka. In short huwa wanapenda kutiwa mimba bahati mbaya au kwa kuvizia
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,141 Reaction score 43,366 Apr 20, 2019 #40 Sasa si uzae na mkeo jamani,mambo ya kupatiana nicknames (single mother) mmh. Anyways kila rakheri