barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,865
MWANAMKE ALIYEPAMBANA NA MAJAMBAZI AZAWADIWA LAKI TANO
Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya yampa zawadi ya Laki tano Bi Sophia Manguye Mkazi wa kata ya Sirari wilaya ya Tarime mkoani Mara kwa ushujaa wake wa kupambana na Majambazi na kufanikiwa kuwanyang'anya silaha aina ya SMG.
Source:East Africa Tv