miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Utarithi pesaHaha wenzangu wanarithi pipa la kupikia pombe mi ntarithi nini?
Utarithi pesaHaha wenzangu wanarithi pipa la kupikia pombe mi ntarithi nini?
Nasikia huko Asia wanaume wanaolewa Na inafanyika kama huyu mama alivyofanya, au ni stori za vijiweni??Apumzike kwa amani ametengeneza historia ambayo wanawake bilioni moja na ushee wameshindwa
Ndio kule mwanaume ndio analipiwa mahari lakini ni nadra mno kukuta mwanamke mmoja kaoa soseji mipingo mbiliNasikia huko Asia wanaume wanaolewa Na inafanyika kama huyu mama alivyofanya, au ni stori za vijiweni??
Huyu marehemu kweli katisha. Kaweka rekodi ya kipekee.!!Ndio kule mwanaume ndio analipiwa mahari lakini ni nadra mno kukuta mwanamke mmoja kaoa soseji mipingo mbili
Hahahahah hapo sawa my wife..... I love you.... [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Utarithi pesa
I love u too husbandHahahahah hapo sawa my wife..... I love you.... [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]