Malikia wa nguvu sio?Marehemu alikuwa Shujaa
LohMalikia wa nguvu sio?
Haha mirathi gani hapo labda pipa la pombe.....nasubiria kipengele cha kugawana mirathi .. nawaza kwa sauti hapa kama mume mdogo alikuwa anapika na kumuandalia mume mkubwa maji ya kuoga si ndiyo sasa atakuwa mke .. maneno haya hayana adabu sijui kama wataacha kulana uwiiiii
Ndugu yangu jibu la hapa lipo kinadharia zaidi kuliko uhalisia na mila na dasturi zetu.Alioa au aliolewa Na wanaume wa wawili??
Sikuisikia habari hii enzi za uhai wake
Ha ha hilo hiloHaha mirathi gani hapo labda pipa la pombe.....
Nimekumic jmn.....Ha ha hilo hilo
Umepotelea wapi nataka nikufanye mume wa tatuNimekumic jmn.....
Ha ha haMarehemu mkosefu sana, wenzie wanatafuta waume yeye kashikiria wote wawili! Aya single mama kazi kwenu, wajane hao
Haha wenzangu wanarithi pipa la kupikia pombe mi ntarithi nini?Umepotelea wapi nataka nikufanye mume wa tatu