Mwanamke aliyejifungua anakaa muda gani ndio afanye mapenzi na mumewe?

Kabla ya kujifungua unapiga hata kama anaenda kushusha kesho kulingana na hali ya mjamzito maana unakua unasaidia kufungua njia akisha jifungua unampa mwezi tu kitu safi inamzibua mtoto masikio hata yeye anakua na maugwadu na kizazi kinakuwa wazi ukicheza vibaya ni mimba. Sijasomea ni uzoefu
 
Akiwa mjamzito haina kikomo,mpaka siku atakayoenda labour,akishajifungua ,damudamu na Yale majimaji kwa kitaalamu yanaitwa lochia vikikauka tu anakuwa huru kukutana na mume wake ,so ndani ya wiki mbili mnaruhusiwa kukutana.
Je Dr kunaswali hapa,mwanamke anaetumia kitinda mimba kwanini huwa anakuwa na mzunguko au hedhi kwa kutokuwa na mpangilio halafu kiasi cha damu kinakuwa kidogo naombeni jibu dr
 
Normaly ni siku arobani zaidi ya hapo ni ushaur wa daktari au pengine kidonda cha opereshen hakijapona kama alipigwa kisu
 
Kwanini wanawake wanaotumia Vikinga mimba huwa wanakuwa na upungufu wa mzunguko wa hedhi au akapitiliza kabisa asiuone mzunguko wako pindi anapokuwa ananyonyesha
 
Weee wiki mbili baada ya kujifungua? Labda kama hujachanika. Kama ulichanika na kushonwa ni kuanzia mwezi mpk kidonda kipone!
Hata kama mama hajachinika, wiki mbili ni mapema mno. Wiki 6 ndio muda muafaka.
 
Back
Top Bottom