Mwanamke aliyefundwa hasubiri kuombwa tendo la ndoa na mumewe

Amka usingizini wewe unaibiwa, ebu sitisha kutoa matumizi hata kwa dakika 1 tu kwa mchepuko kisha ulete mrejesho hapa

Unadhani Mchepuko hauhitaji kuwa na familia yake(Mumewe na Watoto wake) ili uenjoy maisha yake kuliko kuwa dampo la majasho yako na manii yako kila siku hadi kufa kwake

Hujiulizi ni asilimia ngapi ya michepuko hupambana vyovyote vile kwa waganga wa kienyeji kukugeuza zombi ili Mke wako wa ndoa na Watoto wako washindie mihogo na maharagwe wakati huo huo uwe unalipia kuku wa kienyeji, pilau, supu za samaki, asali na maziwa kwa mchepuko
Pamoja na maelezo yako bado hapo Mchepuko anastahili kupewa A+ kwa sababu:-

1. Huyo wife ambae hatoi mbunye sharti kwa kuombwa au sometimes hadi kwa "mateke na mangumi" sio kwamba yeye hapewi hayo matumizi, la hasha bali anashindwa kuona thamani ya mtoa matumizi.

2. Wife anashinmdwa kuiona thamani ya mtoa matumizi kwa sababu tu anaona ni haki yake kupewa hayo matumizi huku akisahau kwamba hakuna HAKI bila ya WAJIBU!

3. Mchepuko anatoa bila bughudha sio kwa sababu anapewa matumizi bali kwa sababu anaijua thamani ya mtoa matumizi, hivyo anaamua kutimiza wajibu wake kwa kum haki yake yule ambae nae ametimiza wajibu wa kumpa yeye matumizi!
 
Hivi mi ndo sielewi mpk uombwe ubembelezwe,kwani we unakuwa hujisikii?
Kwann usiandae mazingira huyo mwanaume akija anakuwa anaelewa kuwa unamhitaji?
Mi wanawake kuna wakati siwaelewi jmn!

Yaani kiukweli katika pita pita zangu kwa wanaume wa kizazi hiki ,wanawake wengi ndo wanawapush wanaume kwenda nje kwa sbb tofauti tofauti!
Kuna Dada mmoja, ambaye njia ninayopita huwa tunagongana mara kwa Mara, ana shughuli zake maeneo hayo. Siku moja akaniita aliponiona, nikaenda bwana, baada ya salamu akaniambia "leo jioni naomba uje home kwangu" nikamwambia kuna issue gani mrembo? Jibu lake 'nataka leo uje uklnikaze, kwa nini niteseke na wewe upo na ninakuona kila mara? " aisee nikabaki speechless kwa sababu sikutarajia... Ghafla akaendelea" sasa hapo cha ajabu nini wewe? Acha ushamba bwanaaa "....
 
Case study imetokea kwa Baba Mkwe wa Kaka yangu wa damu, alikuwa akiishi vizuri sana na familia yake ya Mke na watoto wa4.

Baada ya miaka 25 ya ndoa, akachepuka na kuangukia pua kwa Ke Mdigo(Mtanga).
Ndipo watoto wake na Mke wake walipoanza kushindia mihogo na dagaa chukuchuku nakati kabla ya hapo kila siku familia yake ilikuwa ikiishi
Wadigo noma sana
 
Ngoja waje kuchukua muongozo, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mimi nilipiga chini mhaya mwenzangu
Pesa zangu ale, nimhudumie vema halafu utamu kwa ratiba. Ananiambia eti upendo sio ngono tu, ananiletea za kwenye drama zao wakishaangalia vi tamthiliya vyao Netflix. Nikamfungia vioo. Sasa hivi anasumbua kwelikweli. Nami nina moyo wa moto na mgumu sirudi nyuma. Anabaki kusema nina roho ngumu.
Safi sana..mwanaume msimamo
 
Hivi mi ndo sielewi mpk uombwe ubembelezwe,kwani we unakuwa hujisikii?
Kwann usiandae mazingira huyo mwanaume akija anakuwa anaelewa kuwa unamhitaji?
Mi wanawake kuna wakati siwaelewi jmn!

Yaani kiukweli katika pita pita zangu kwa wanaume wa kizazi hiki ,wanawake wengi ndo wanawapush wanaume kwenda nje kwa sbb tofauti tofauti!
𝙰𝚌𝚑𝚊𝚝𝚞 𝚔𝚔
 
Kweli mkuu mchepuko wana-care mno hadi unajihisi toto linalodekezwa. Uvuliwe nguo ubembelezwe kula awajulie hali watoto wako na mkeo yaani hataki hata uondoke kwake au atakukumbusha nenda nyumbani na we ukifikiria kero unazo enda kukutana nazo nguvu inakuisha na nikuhakikishie bila michepuko ndoa zisinge kuwepo au kudumu basi hizi haki zao zinaingilia kati ila michepuko inajitambua
Kumbuka ata mkeo ashawahi kuwa mchepuko wa mtu usidhan ety hajui ku care anajua sana ila kakuchoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom