Mwanamke aliyefundwa hasubiri kuombwa tendo la ndoa na mumewe

Hakyamama Mungu ananiona,hunichukulii mume kifala hivyo,heheee labda km Mungu hayupo!
Yaani huo mpambano wake Mungu ndo anajua!

Km anausikiaga ule mstari wa" usimuache mwanamke mchawi aishi "unavyofanya kazi basi ataelewa
Sbb kiukweli hapo nguvu za giza tu zimetumika,hakuna mwanaume Kwenye akili timamu anaweza fanya hivyo!
Ndivyo hivyo sasa jinsi ilivyokuwa na hadi sasa hakuna anachoisaidia familia yake zaidi ya kuwapatia 250, 000/= kwa kila mwisho wa mwezi.

Pia inshu kama hiyo imemtokea Binamu yake na Mke wangu, kapurulwa weee na Mchepuko kwa zaidi ya miaka mi5 baada ya kibarua kuota nyasi na kufulia mithili ya fukara na kupigwa chini na Mchepuko wake, ndipo sasa hivi kaanza upya kumsumbua Mkewe wa ndoa kumwomba msamaha warudiane kuishi pamoja ilihali tayari Mkewe alisharudi kwa wazazi wake na watoto wanasomeshwa na kulelewa na Babu na Bibi zao(wazazi wa Mke wa ndoa).

Tena anawasumbua hadi wakwe zake wamwombee msamaha kwa Mkewe wa ndoa ilihali Mama Mkwe kakaza kabisa hataki kusikia huo upumbavu.

Mkasa mwingine, ni kuhusu Best Man wangu yani kiujumla nina shuhuda nyingi sana za matatizo ya Me sababu ya michepuko.
 
Yaani kama mi ndo ni huyu dada nilirudi kwetu na wazazi wangu wanajiweza wananisaidia sirudiani na huyo fala ng'oooo!
Bora nipambane kabla mume hajaondoka mpk kieleweke ila akiondoka akafulia huko sitaki!
 
Mimi nilipiga chini mhaya mwenzangu
Pesa zangu ale, nimhudumie vema halafu utamu kwa ratiba. Ananiambia eti upendo sio ngono tu, ananiletea za kwenye drama zao wakishaangalia vi tamthiliya vyao Netflix. Nikamfungia vioo. Sasa hivi anasumbua kwelikweli. Nami nina moyo wa moto na mgumu sirudi nyuma. Anabaki kusema nina roho ngumu.
 
Case study imetokea kwa Baba Mkwe wa Kaka yangu wa damu, alikuwa akiishi vizuri sana na familia yake ya Mke na watoto wa4.

Baada ya miaka 25 ya ndoa, akachepuka na kuangukia pua kwa Ke Mdigo(Mtanga).
Wadigo sio poa kabisa..

Wanajua mapenzi balaa..

Mimi siku niliyokutana na mdigo ndo nilijua kumbe wanawake hawafanani hata kidogo...mtu mzima unakuwa kama zombie vile.

Hii michepuko ukikutana nayo ukasetiwa na kama wewe sio mjanja basi familia utaitelekeza kwa namna fulani..labda uwe well off kiuchumi..ila kama ni hela za ngama,ahhhha,familia unaitelekeza hivihivi.
 
Wadigo sio poa kabisa..

Wanajua mapenzi balaa..

Mimi siku niliyokutana na mdigo ndo nilijua kumbe wanawake hawafanani hata kidogo...mtu mzima unakuwa kama zombie vile.

Hii michepuko ukikutana nayo ukasetiwa na kama wewe sio mjanja basi familia utaitelekeza kwa namna fulani..labda uwe well off kiuchumi..ila kama ni hela za ngama,ahhhha,familia unaitelekeza hivihivi.
 
Mimi nilipiga chini mhaya mwenzangu
Pesa zangu ale, nimhudumie vema halafu utamu kwa ratiba. Ananiambia eti upendo sio ngono tu, ananiletea za kwenye drama zao wakishaangalia vi tamthiliya vyao Netflix. Nikamfungia vioo. Sasa hivi anasumbua kwelikweli. Nami nina moyo wa moto na mgumu sirudi nyuma. Anabaki kusema nina roho ngumu.
 
Hivi mi ndo sielewi mpk uombwe ubembelezwe,kwani we unakuwa hujisikii?
Kwann usiandae mazingira huyo mwanaume akija anakuwa anaelewa kuwa unamhitaji?
Mi wanawake kuna wakati siwaelewi jmn!

Yaani kiukweli katika pita pita zangu kwa wanaume wa kizazi hiki ,wanawake wengi ndo wanawapush wanaume kwenda nje kwa sbb tofauti tofauti!
Nachangia mifuko 10 ya cement kwenye ujenzi wa sanamu lako pale Ukraine
 
Kweli mkuu mchepuko wana-care mno hadi unajihisi toto linalodekezwa. Uvuliwe nguo ubembelezwe kula awajulie hali watoto wako na mkeo yaani hataki hata uondoke kwake au atakukumbusha nenda nyumbani na we ukifikiria kero unazo enda kukutana nazo nguvu inakuisha na nikuhakikishie bila michepuko ndoa zisinge kuwepo au kudumu basi hizi haki zao zinaingilia kati ila michepuko inajitambua
Mmmmh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom