asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Mnafanya sana haya wanawake
Aiseeeeh!
Joka la kibisa mimi nilijua ni mwanaume ------- asiyedinda kumbe ina maana tofauti ya infertility male.
Technology ya DNA imemuumbua mama, otherwise angekaa na siri yake mpaka anakwenda kaburini.
kawaida sana mbona watoto kibao ni wa house the boy.. king of the house
House boy ndio king of the house?
Ha ha ha watafute ant-DNA tuendelee kula virungu vya wenye nguvu
ndiyo we hujui...
Mmmmh.. Hatari tupu..
ha ha ha ha mfanye mazoezi
miss chagga, hivi uwezo wa kunitoa jasho unao au ni mbwembwe za ndomoni?ha ha ha ha mfanye mazoezi
angaliausije ukazimia ... inabidi upige zoezi wiki tatu ndiyo uje kwa gamemiss chagga, hivi uwezo wa kunitoa jasho unao au ni mbwembwe za ndomoni?
Mmmh!!!! Angalia usijekimbia na kifuniko mkononi, show zangu ni za Kicongo.angaliausije ukazimia ... inabidi upige zoezi wiki tatu ndiyo uje kwa game
Pia alielewa kuwa mke wake alifanya yote yale ili pia kumlindia yeye heshima kwenye jamii, unajua jamii zetu bila mtoto unaonekana hujakamilika.Yah kikubwa kama jamaa kawapenda na kakubali kuwalea basi hao ni wanawe wa kihalali
Mkuu ongea tu hata kidogo maana huwa unaguna tu.inavutia hii hadithi