haha huyu naye anatafuta shamba la kusia mbegu zake wenye vitalu njooni huku
Asizidi miaka 40 naasiwe chini ya miaka 24 awe na kazi inayoeleweka inayomuingizia kipato, gharama zote za kumtunza na kumsomesha mwanangu zitakuwa juu yangu,lla hakuna kuoana kwa aliye tayari aje inbox
mamboo vipi ??
nani ??
au mimi ?
ujanani ulikuwa wapi kuzaa
nani amekwambia kwamba ye ni mzee???????
Hii ya leo kali