Mwanamke alijifanya kuninunia sasa karudi

Mwanamke alijifanya kuninunia sasa karudi

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
332
Reaction score
952
Wakuu kuna demu mmoja nilimtongozaga yupo Kigamboni akakubari ila sasa maringo yakawa mengi ikawa Mimi ndio kama nafosi mapenzi basi nikakaa nae siku 5 Mimi naanza kumtafuta kila siku Mimi nikimpanga aje ghetto sababu kibao basi nikasema sasa ngoja nikuonyeshe nikapiga kimya mwezi mzima no kumtafuta.

Nashangaa demu amerudi shobo nyingi ananitafuta mwenyewe na anakubali kuja gheto kirahisi japo na Mimi nimemkazia najifanya kama aimtaki tena japo namtaka ila nazuga ru, ananililia anasema simtaki nampotezea wadau kwann mademu wapogo hivi?
 
Piga Kwa tahadhari mkuu then tembea mbele, akikupigia ana mimba yako kimbia kwanza mkuu huo ni mtego.
 
Usipige kavu kabsa kijana utakuja nishukuru kichwa cha juu kifanye kz kuliko cha chini, wanaume wengi tunatumia ubongo wa kichwa cha chini ndo tatzo.
 
wataalamu tunasema "mshahara umeongezwa asilimia 23.3 kwenda 0.23%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom