Mwanamke akipenda ujue amependa kweli

Siku zinapendwa pesa na mali sio mwanaume, KE akiona huna dalili ya future nzur ama kwa muda huo huna chochote unabaki kuwaita shemeji tu
 
Ni kweli sijawahi danyanya mtu nampenda, na hata kama simpendi nikiwa naye najikuta nampenda na na mthamini
 
Dah! Mwanamke mrembo sana, kiukweli ni mzuri. Tatizo la mapichapicha ya jf, sijui yana"dounlodiwa" toka sayari gani.
Picha za avatar ni fake, picha za ku-support habari zote ni fake.
Picha ya ukweli kwenye avatar Jf nzima ni ya miss natufuta pekee. Nampongeza sana Miss.
 
Wanawake wa zamani sio hawa wa kisasa wavaa mawigi,wavaa suruali za kondom matapeli usipime
Lohhhhhh mwanangu mbona povu linakutoka hivyo??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hata yangu siyo fake mweeeeh!!
 
ata mm nikikupenda nimekupenda kweli, kwa nn umtese mwenzio kama huna mapenzi nae!
 
ha ha umeshawahi muona ukaamin ni yy yule wa kwe avatar yake
 
huyo sio mwanamke tema mate tumchape
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…