Mwanamke akinikataa namchukia automatically

Chukulia kawaida tu,kwa sababu kupendwa sio lazima
 
Alafu watu wengine mnatafuta stress wenyewe

Demu akikukataa we unatakiwa ukubali huo ndio uhalisia
,usipende kuforce mapenzi

Maana mwisho wa siku watu kama nyie ndio wale ambao mwisho wa siku mkiachwa mnakuja kufanya matukio ya ajabu

,kwani shida ipo wapi ?
 
Hate gives me strength, even when there is no hope, hate keeps me alive. Quote toka movie ya Van Damme inaitwa In Hell.

Anyway una matatizo. Na matatizo yako ni kujihisi you are so so so perfect that nobody should ignore the opportunity to ride your dick.

My nigga you are wrong. Badilisha mbinu za kutongoza, kanuni ya kwanza ya kutongoza ni "eyes on the prize" au "never lose focus" mfano kuna mabinti wanne wote wameonyesha green light usijichanganye ukawatokea wote wanne kwa wakati mmoja.

Unaanza na mmoja mmoja mpaka wote wanaisha. Ukijichanganya utajikuta unakosa wote au unapata mmoja wengine unawakosa.

Pia kua faster kunotice inner person wa mhusika wako halafu deal na inner person.

Mwisho kidogo, mfanye mwanamke ajihisi she is in control, like atakupangia muda wa kumuona, kumpigia, atachagua siku ya kukutembelea, atachagua siku ya game ila nini ujue? Eyes on the prize
 
Kwanin anikatae hio ndo shida...tena Kwa dharau ..eti sina hisia na ww ,hii bro Hadi leo physiologically imeniaffect
 
Alafu watu wengine mnatafuta stress wenyewe

Demu akikukataa we unatakiwa ukubali huo ndio uhalisia
,usipende kuforce mapenzi

Maana mwisho wa siku watu kama nyie ndio wale ambao mwisho wa siku mkiachwa mnakuja kufanya matukio ya ajabu

,kwani shida ipo wapi ?
😅👏👏
 
Mkuu kukataliwa sio tatizo kabisa mademu huwa wana mambo mengi nyuma ya pazia saa nyingine anaona ww hustaili kuwa nae sababu atakuumiza tuuu mwisho siku

Hawa viumbe wana huruma sana ukikataliwa kubali tuu
 
Hate gives me strength, even when there is no hope, hate keeps me alive. Quote toka movie ya Van Damme inaitwa In Hell.

Anyway una matatizo. Na matatizo yako ni kujihisi you are so so so perfect that nobody should ignore the opportunity to ride your dick.

My nigga you are wrong. Badilisha mbinu za kutongoza, kanuni ya kwanza ya kutongoza ni "eyes on the prize" au "never lose focus" mfano kuna mabinti wanne wote wameonyesha green light usijichanganye ukawatokea wote wanne kwa wakati mmoja.

Unaanza na mmoja mmoja mpaka wote wanaisha. Ukijichanganya utajikuta unakosa wote au unapata mmoja wengine unawakosa.

Pia kua faster kunotice inner person wa mhusika wako halafu deal na inner person.

Mwisho kidogo, mfanye mwanamke ajihisi she is in control, like atakupangia muda wa kumuona, kumpigia, atachagua siku ya kukutembelea, atachagua siku ya game ila nini ujue? Eyes on the prize
Mkuu umekwiva hizi mbinu mi sinaga mi introvert plus shyness masterbation imeshusha confidence yng Sana..Ila ngoja nitafute pesa tu
 
Back
Top Bottom