Mwanamke akinikataa namchukia automatically

Mwanamke akinikataa namchukia automatically

Mkuu kukataliwa sio tatizo kabisa mademu huwa wana mambo mengi nyuma ya pazia saa nyingine anaona ww hustaili kuwa nae sababu atakuumiza tuuu mwisho siku

Hawa viumbe wana huruma sana ukikataliwa kubali tuu
Kidogo naanza kuelewa maana huyo manzi alinikataa now anasomea udaktari huko rock city,nahisi ndo kilichompa kiburi
 
Alafu watu wengine mnatafuta stress wenyewe

Demu akikukataa we unatakiwa ukubali huo ndio uhalisia
,usipende kuforce mapenzi

Maana mwisho wa siku watu kama nyie ndio wale ambao mwisho wa siku mkiachwa mnakuja kufanya matukio ya ajabu

,kwani shida ipo wapi ?
Tena nampiga risasi Mia za kichwa...
 
Mkuu umekwiva hizi mbinu mi sinaga mi introvert plus shyness masterbation imeshusha confidence yng Sana..Ila ngoja nitafute pesa tu
Sasa ukizikosa milele utakua humegi milele?

Kwani wewe hauna strong feature ambayo watu wa pembeni inawavutia? Mfano Sanchoka strong feature tako, Millard Ayo sauti, Profes Palamagamba ujuzi wa sheria n.k. wewe strong feature yako ni nini?

Hiyo hiyo acha ikubebe kipindi hichi bado unazisaka.
 
Sasa ukizikosa milele utakua humegi milele?

Kwani wewe hauna strong feature ambayo watu wa pembeni inawavutia? Mfano Sanchoka strong feature tako, Millard Ayo sauti, Profes Palamagamba ujuzi wa sheria n.k. wewe strong feature yako ni nini?

Hiyo hiyo acha ikubebe kipindi hichi bado unazisaka.
Mi ni mfupi Sana pia najua quotes nyingi
 
Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara.

Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama expert member wa JF sijaweza kupost Uzi hasa katika jukwaa hili. Naenda straight to the point, mimi ni introvert na niliwahi kumpenda mdada mmoja hivi kipindi tunasoma nilimu-approach for three consecutive years lakini kwa kweli majibu yake yalikuwa "hey sorry sina feelings na wewe, we mkaka vipi mbona huelewi unahitaji maombi"

Basi ilichukuwa muda mpaka moyo wangu kukubali ukweli hata kweli hanitaki lakini nikatokea kumchukia ghafla kwamba mtu nimefall kwake lakini the payment in return ni majibu magumu kumeza na pia niliendelea kutongoza wengine katika career yangu japo chagaa zilikuwa nyingi hasa kwa wadada niliosoma nao.

Basi wote hao inanitokea hali ya strong physiological hate kwamba kwanini wanikatie ila nikajisemea kimoyomoyo acha niandike list ya hawa viumbe wote walionikataa alafu major reason maybe sina pesa alafu panapo uhai let me show them kwanini wananikatae.

Mapambano yanaendelea naendelea kutafuta pesa ipo siku wasipo nitaka mimi watataka hela zangu. " When money speaks nobody checks the grammar".

Nawasilisha
Sawa mkuu

Its not over until its over...
 
Back
Top Bottom