Mwanamke akinikataa namchukia automatically

Mwanamke akinikataa namchukia automatically

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,913
Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara.

Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama expert member wa JF sijaweza kupost Uzi hasa katika jukwaa hili. Naenda straight to the point, mimi ni introvert na niliwahi kumpenda mdada mmoja hivi kipindi tunasoma nilimu-approach for three consecutive years lakini kwa kweli majibu yake yalikuwa "hey sorry sina feelings na wewe, we mkaka vipi mbona huelewi unahitaji maombi"

Basi ilichukuwa muda mpaka moyo wangu kukubali ukweli hata kweli hanitaki lakini nikatokea kumchukia ghafla kwamba mtu nimefall kwake lakini the payment in return ni majibu magumu kumeza na pia niliendelea kutongoza wengine katika career yangu japo chagaa zilikuwa nyingi hasa kwa wadada niliosoma nao.

Basi wote hao inanitokea hali ya strong physiological hate kwamba kwanini wanikatie ila nikajisemea kimoyomoyo acha niandike list ya hawa viumbe wote walionikataa alafu major reason maybe sina pesa alafu panapo uhai let me show them kwanini wananikatae.

Mapambano yanaendelea naendelea kutafuta pesa ipo siku wasipo nitaka mimi watataka hela zangu. " When money speaks nobody checks the grammar".

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom