BUahahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣Na mwenye kuvaa na avae

Ufanunuzi mkuu,hapa kipimo kipi ni + na kipi -??Baada ya hapa akaniambia "Umeshajua hali yangu najua utaniacha tu".
Sasa wakuu, hata nikimuacha kosa langu liko wapi?🤷🏽♂️
View attachment 3270068
Bull mbona kama huwa zinapasuka aseeBinafsi kondom ni kitu wanaume wengi hutushinda..
Condom nzurii kwatafiti zangu ni BULL CONDOMS PEKEE
Nyingine sijui bare back, flavors,king size, Durex, rough rider, dume,fiesta,life guards SIO NZURII KABISA.
At least BULL CONDOMS PEKEE NI IMETENGENEZWA VYEMA KABISAA