patricl
JF-Expert Member
- Oct 2, 2015
- 508
- 300
Huenda anataka kujua ndan kwako kukojeInapotokea umejenga urafiki tu wakawaida na mfanyakazi mwenzako wa kike na anajua kabisa kwamba una mke lakini katika mazingira tu yakawaida wakati mnapiga stori anakuuliza "Hivi Mr X kwanini uliwahi kuoa ?"
Mwanamke anapokuuliza swali hili huwa anamaanisha nini hasa ?