wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
umeogopa eeh? jipange habari ndio hiyo kwa hiyo malizana na vimeo vyako vyooote kabla sijaleta posa[emoji4]
umeogopa eeh? jipange habari ndio hiyo kwa hiyo malizana na vimeo vyako vyooote kabla sijaleta posa[emoji4]
Ha haaa sawa babaumeogopa eeh? jipange habari ndio hiyo kwa hiyo malizana na vimeo vyako vyooote kabla sijaleta posa
naona badala ya kunijibu umeipa swali, vipi a wanawake ambao ni vinga'nganizikwanini wasidundwe wakati ni ving'ang'anizi
sema tumalizane hapa mi sinaga mda wa kusubirMada yako ni nzuri ila umekosea kidogo jinsi ya kuiwasilisha, hasa hayo maneno ya msisitizo hapo chini,
Ila me nimekuelewa nikipata muda nitakuja kukueleza in shaa Allah.
kwani huyo mwanaume anaepigwa mawe ni mali yako?
kwani tatizo la maoni yangu ni lipi?...Rudia tena kusomakunguru hafugwi wewe, anaweza kuwa mwanamke au mwanaume hata umpe nini lazima akusaliti so watu kama hao ni kuwatia petrolo tuu au acid na kuridhika moyoni
sawa na mimi ivo ivoMy Rule.
Kama Nliemfumania Na Mke Wangu Anajua Kama Yule Ni Mke Wangu Au Anajua Kwamba Sisi Ni Wanandoa,Nitawaadhibu Wote.
Kama Nliemfumania Hajui Kama Ni Mke Wangu,Nitamwadhibu Mke Wangu.
Period.
Hata Kwenye Sheria Kosa La Adultery Linaonyesha Kuwa Ukiweza Kuprove Kama Hukujua Ni Mke Wa Mtu Au Kama Huyo Mwanamke Alivyojiweka Haonekani Wala Mtu Mwingine Hawezi Kuamini Kama Ni Mke Wa Mtu,Then Unaweza Pata Ahueni.
Kosa anifanyie mimi unataka akaadhibiwe na nani?na kwa mantiki hiyo uliyonayo hakuna haja ya sheria,jambazi akija kwako akikupiga tulia hata kama una bunduki mana huna haki ya kuadhibuNa kwa nini umuadhibu kwani ni Mali yako? Wewe ni nani Dunia hii mpaka uone una haki ya kumuadhibu binadamu mwingine?
Kosa anifanyie mimi unataka akaadhibiwe na nani?na kwa mantiki hiyo uliyonayo hakuna haja ya sheria,jambazi akija kwako akikupiga tulia hata kama una bunduki mana huna haki ya kuadhibu