Mwanamke akicheat anaweza badilika?

Mwanamke akicheat anaweza badilika?

supercharger GT

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
1,023
Reaction score
1,976
Wakuu habari zenu, naomba kuuliza hv kwel mwanamke ambaye amekusaliti na akaomba msamaha kweli anaweza badilika asirudie tena?? Na hapo ni amekuwa na mpango wa kando kwa zaidi ya miaka mitatu unamkamata ndo anaomba msamaha
 
Ni kama ilivo kwa wanaume..mwingine anaomba msamaha na anabadlika kabisa...lakini mwingine ndo tabia yake habadiliki....ndo maana nkasema inategemea ntu na ntu
Kwa hyo hapo ni kuomba tu Mungu...kuona kama itatokea tena
 
three years alikua kaolewa kabisa huyo mabadiliko yako kwenye nafsi yake moyoni
 
three years alikua kaolewa kabisa huyo mabadiliko yako kwenye nafsi yake moyoni
Kusema ukwel namm ndo kinachoniumiza kichwa coz walikuwa wanashiriki kila kitu cha mapenz...na wakat huo mm npo wilaya nyingine ila najitahidi sana kumtembelea at least every weekend...halaf mbaya zaidi jamaa linanijua vzur
 
Back
Top Bottom