Mwanamke ajifungulia barabarani

Mwanamke ajifungulia barabarani

leo kama dk 5 zimepita nikiwa hapa barabara inayoelekea pepsi nimeshuhudia mwanamke mmoja akijifungua barabarani kwa msaada wa baadhi ya wafanyakazi wa pespi(wanawake) na wapita njia, ila amejifungua salama na sasa wamempeleka hsptal! Hv ni kweli m2 unafika siku kama hiyo alafu bado unazulula 2? Au tatizo ni nini?
 
Kichwa cha habar na unachotaka tuchangie ni tofaut sana,zaid ya hapo tutajikuta tunamtukana.
 
Mungu yuko na huyo mama,namuombea baraka zaidi.Je, tumeshudia wangapi wakipoteza maisha wakati wakujifungua wakiwa Hospitali na vitua vya afya ndani ya miaka hamusini ya uhuru wa tz?
 
Back
Top Bottom