Mwanamke ajifungua jiwe!

umbea huo kaka...........
 
<br />
<br />
ona sasa kumbe inawezekana, waafrika sisi mawazo yetu yamekaa kishirikina tu halafu huko kanda ya ziwa wakikatana mapanga kisa macho mekundu, tunajidai kuwashangaa, tunasahau kumbe nasisi tunawaza ushirikina everytime!
 
Duh duh kweli mwisho wa dunia umefika..
 
Amejifungua kwa njia gani?naamini angejifungulia hospitali ya mkoa au rufaa angepewa scientific explanation na asingeenda radioni na hiyo story.
'Stone baby' kwa kitaalamu huitwa lithopedion/lithopedia hutokea kwa baadhi ya wanawake mara baada ya mimba iliyotungwa awali kuharibika na kufunikwa na calcified tissue.mimba hii huweza kukaa tumboni mwa mwanamke na akaendelea kupata mimba nyingine za kawaida bila matatizo.clinical officer,medical attendant lazima akose maelezo akiona kitu kama hiki!
 
umbea huo kaka...........
<br />
<br />

Mkuu,
Kama kutoa habari ni umbea basi vyombo vyote vya habari ni wambea!? Kama huna cha kuchangia ni bora ukajisomea na kupita kuliko kuandika upuuzi!
 
in medicine tuna kitu kinaitwa teratoma, ambayo inaweza kukontein any tissue hata bone tissue. ossified tissue ni ngumu kama jiwe
 
Dunia hii haiishi maajabu na vituko na huko kwenye vijiji vyetu ndio kabisa, jiwe linatoka hivi hivi unaliona, huruma
 
Uskute alijiridhisha na jiwe! Mungu si PAW, jiwe likatoa ujauzito.

Kwa hiyo unasema mama alikuwa anajisugua chini na jiwe halafu likapotelea ndani kwa ndani na sasa limetoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…