Mwanamke aingie katika maajabu ya dunia


++
Judy Nash
Bado hata hapa Unadhihirisha ile hali ya kutokuwa wewe.Maana unataka kuwa ktk kundi ambalo baada ya muda utarudi.
Sikatai mabadiliko ya kitabia yapo kwa wote,ila yapo ambayo ni static na yanawafanya muwe wa pekee
++
 
Last edited by a moderator:
Napingana na ww hasa ktk suala la kubadilisha radha hakuna ukweli ktk hilo mwanamke mwenye akili zake timamu anaepata huduma zote muhimu na mapenzi ya kweli hawezi tafuta mwanaume mwingine wa pembeni hata cku moja!
 
Napingana na ww hasa ktk suala la kubadilisha radha hakuna ukweli ktk hilo mwanamke mwenye akili zake timamu anaepata huduma zote muhimu na mapenzi ya kweli hawezi tafuta mwanaume mwingine wa pembeni hata cku moja!

++
Joharia
Nani kakudanganya! Mwanamke wa aina hiyo ni yule aliyechini ya udhibiti..mpe uhuru ujue makucha yake.
++
 
Last edited by a moderator:
Ni kama nyuklia inayoishi, ikitumika vizuri inafaida lakini viceversa ni zaidi ya janga!
 
Nilijua tu mtaandamana maana hamtaki kujikubali kuwa nyie ni watu wa ajabu sana kwanini hamnaga huruma kwa viumbe tofauti na watoto wenu.
Tena ni viumbe dhaifu zaidi duniani. Wakibisha nitarud na ushaidi wa kutosha
 

++
May be umenielewa tofauti.
++
 

Aksante Marnah kwa kumueleza......
 
Umeamua kutukana wanawake, kwani mama yako ni mwanamme?
 
wewe Molembe ndo unatakiwa uingie katika list ya watu wa ajabu dunian

unakurupuka tu kuandika...........,
mama ako kama angekuwa LUCIFER si
angekutoa kafara wakat hajaliona jua
Tumia kichwa kufikir na sio hayo makalio yako

Umenifanya nicheke sana.kumbe kunawatu wanafikiria kwaku2mia makalio.
 
Last edited by a moderator:
Precedents tunazo nyingi kuanzia kwenye vitabu vtakatifu akina Eva/Hawa, Delilah mpaka Bi. Kiroboto wa Bongo, et al.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…