Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kujiondoa katika familia ya Kifalme (Royal Family)

nami nina mawazo sawa na haya yako kwa asilimia kubwa, alipo oa black niliwaza sana Queen atamwangaliaje?

Mkuu
Harry alipokwenda kuomba idhini ya kuoa kwa bibi yake (Malkia) alilipokea kwa furaha sana na baada ya mazungumzo pale Buckingham Palace alimchukua na kuongozana nae kwenye corridors za jengo hilo na kwenye kuta zote Kuna picha kubwa kubwa za watangulizi na ndugu wa familia ya kifalme
Ndipo Queen akamuonyesha picha moja ya Queen Charlotte na kumwambia Huyu ni bibi yangu na ni Black kwa hiyo hata mimi nina damu ya black na ndipo akatoa baraka zote
Tatizo ni media ndio zimewaandama sana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Charles naona alipoteza umaarufu sana baada ya kumsaliti Diana kwenye ndoa yao...kisha Divorce..ukizingatia Princes Di ndo aliolewa bikra na alikua mwaminifu kwenye ile ndoa na alipendwa na wengi

kama hio haitoshi Di akafariki kwa ajali ambayo inaaminika imepangwa na Royal Family haohao

na kama hio haitoshi akaja kumuoa Camilla Parker long time mchepuko wake na x girlfriend kabla ya Diana..mwanamke ambae ndo alisababisha Charles na Diana kuachana

inshort Kate and William wanapendwa zaidi kuliko Charles na Camilla
Je, kiutaratibu, kuna uwezekano wa William kupewa ufalme na Charles kurukwa kwa sababu ya ndoa yake kuchafua picha ya royal family!?

Kifupi kutajwa tajwa sana kwa William inaonekana kama vile Charles kashawekwa kando kurithi kiti!!!!
 
Victory02, Kiukweli sijajua kwa undani sana maana alichofanya Harry ni tukio geni japokuwa kuna mtu aliwahi kujiondoa kuwa mfalme(Edward VIII) ili aoe mwanamke anayempenda. Ukisoma statement("work to become financially independent,") yao utaona watakachopoteza ni annual allowances ambayo hulipwa karibu pound sterling 2 million yeye na mke wake pamoja na security maana hawatakuwa ktk day to day royal duties. Yote haya yatafanyika slowly not in dramatic way.

Pia ukiunganisha dots huu mpango waliuanza mapema mtoto wao hana royal title wanataka mtoto aishi ktk ulimwengu wa kawaida bila kuwa na baggage ambayo huja na title.

Hata Mtoto wao hakuzaliwa Kwenye Hospital ambayo royal family wanawakes huwa wanazalia.

Harry ana urithi wa USD10m Kutoka kwa mama yake...Meghan na yeye si haba ana utajiri wa 4m USD...sidhani kama wanaweza kula nyasi..ukiangalia pia influence aliyonayo harry anaweza anzisha Biashara yoyote na akamake Benji's
 
Hatimaye Meghan ataanza kufurahia na kuishi maisha ayapendayo. Kwanza hawajawahi kumpenda, she is better off. Hongera yake Harry.

Mimi mwanaune ila nimeipenda sana...wamwache Meghan awe Meghan...maisha ya kupangiwa Sijui avae nini Wapi na Wapi bwana..Meghan ni mmarekani Wapi na Wapi angewezana na maisha ya kupangiwa...wabaki na uroyal wao.....subhamiti
 
Je, kiutaratibu, kuna uwezekano wa William kupewa ufalme na Charles kurukwa kwa sababu ya ndoa yake kuchafua picha ya royal family!?

Kifupi kutajwa tajwa sana kwa William inaonekana kama vile Charles kashawekwa kando kurithi kiti!!!!
Suala la urithi wa kifalme sio la kuamua kienyeji nani arithi na nani asirithi; utaratibu wa urithi uko well defined na sheria zao. Kwa waliozaliwa kabla ya 2013 ni mzaliwa wa kwanza wa kiume ila waliozaliwa kuanzia 2013 ni mzaliwa wa kwanza. Sasa kama mzaliwa wa kwanza wa Her Majesty ni William na sio Charles sawa. Kiufupi kujibu swali lako ni kwamba lazima sheria ibadilishwe kwanza. Ingekuwa shitholes kubadili sheria sio tatizo ni suala dogo sana ila nchi kama UK sio mchezo.
 
Mkuu
Harry alipokwenda kuomba idhini ya kuoa kwa bibi yake (Malkia) alilipokea kwa furaha sana na baada ya mazungumzo pale Buckingham Palace alimchukua na kuongozana nae kwenye corridors za jengo hilo na kwenye kuta zote Kuna picha kubwa kubwa za watangulizi na ndugu wa familia ya kifalme
Ndipo Queen akamuonyesha picha moja ya Queen Charlotte na kumwambia Huyu ni bibi yangu na ni Black kwa hiyo hata mimi nina damu ya black na ndipo akatoa baraka zote
Tatizo ni media ndio zimewaandama sana

Sent from my iPhone using Tapatalk

Tatizo ninalolionaga kwa waingereza na ile familia ni kwa vile wanaishi kwa kodi ya waingereza.

Ndo maana waingereza kitu kidogo tu wanacharuka kama nini Sijui.
 
Mkuu waingereza wanampenda sana Malkia na sidhani kama watakuja kubadili huu mfumo
Ila tatizo ni media maana media watakuandama tu kama wewe ni mashuhuri haijalishi umashuhuri wako aidha ni mpira au mwimbaji au mwanasiasa hawatakuacha salama
Ila hii ya sasa ni mbaya ingawa mabaya mengi wameyaandika na yametokea katika familia hii

Ila hyo media ya UK nayo shida sana..kuna siku Meghan alivaa Nguo nyeusi Kwenye event Fulani ikawa shida...wakasema royal family members wanawake wanavaa Nguo nyeusi Kwenye misiba.

Siku nyingine hakubeba kale kapochi kama anavyobebaga Kate....ilikuwa topic tena. Ila mbona Kate hawamuandami kiasi hicho au wanampenda???
 
Hapana mkuu hii familia ni ya kifalme na wana masharti mengi sana ambayo kuna nanny wao ambao wanawafundisha kila kitu kuanzia mavazi mpaka kutembea na hata kuongea na kusalimia
Hilo moja
Kate ni Malkia mtarajiwa na ni muingereza aliekulia hapa na anajua maisha ya familia hii na amefundishwa nini cha kufanya na huwa wana ratiba iliyopangwa wanakula saa ngapi na wanalala saa ngapi
Ni familia ambayo Ina maisha tofauti kabisa na watu wa kawaida
Hawana uhuru wa kwenda McDonald’s au KFC
Hili alifanya Diana tu wakati anaishi Kensington akawa an anawapeleka Will na Harry ingawa alikatazwa na mwisho wake ukawa mbaya

Tukirudi kwa Meghan yeye ni Mmarekani ambae ndio kwanza ameiona UK na maisha ya kifalme na alipojulikana anataka kuingia kwenye hii familia Usalama walimuonya sana na kumwambia ni familia yenye heshima kubwa na ni ngumu sana lakini alikubali yote pia aliambiwa utaamdamwa sana paparazzis
Inasikitisha sana jinsi walivyomuandama kwani nakumbuka alipomzaa tu mtoto wake wa kwanza siku amemtoa nje ili wananchi wamuone kama wanavyofanya familia
Alitokea mwanahabari tena mkubwa maarufu akaweka picha ya Harry, Meghan na pembeni Nyani mdogo kwenye Twitter yake
Ingawa alifukuzwa kazi siku hiyo hiyo lakini ilikuwa imeishasambaa kila mahali
Kila wakati wanamuandama sana na Harry anaumia sana kwa jinsi mama yake alivyoandamwa mpaka anakufa

Tunasubiri hatma yao kesho kwa uamuzi wa Malkia na nchi na dunia wanasubiri maamuzi

Duuu hyo ya kuweka nyani Mdogo kweli hapo huyo mwanahabari alipitiliza.

Afadhali waachane tu na hzo duties za royal family waangalie maisha yao. Maisha ni furaha bwana yafaa nini upate Kila kitu wakati huna Amani na furaha?????
 
Kweli Mkuu ila kuachana na familia ni ngumu sana kwa usalama wao na pia kwa mtoto pia
Kesho ndio queen atatoa maamuzi ila sidhani kama itakuwa rahisi hivyo kujitoa ingawa wana hela ndefu na miradi mingi
Ukiwa kwenye Royal Family hela zinaingia tu yaani charity moja tu umeula
Sasa kama wataachana na yote hayo na kuzuiwa kila kitu ni hatari kwa maisha yao na Queen hawezi kukubali
Harry kamvunjia heshima bibi yake kwa kutokumuambia mipango yake na Harry anayo ya moyoni ambayo atayatapita yote

Lakini mkuu kwani wameachana na familia???mbona Harry kasema wataendelea kumuheshimu malkia na kumsuport kwa Kila kitu. Mimi pamoja na mengine nadhani Harry ameona hapewi ile heshima anayostahili ikiwa ni pamoja na mke wake kuandamwa na mapaparazi na familia kukaa kimya bila kusema lolote.

Nadhani kuna sehemu ukisema Harry anahofia yanaweza kujirudia ya mama yake.

Sasa mkuu ikitokea Malkia akakataa maamuzi yao na wao wakashikilia HVO HVO itakuweje??

Nasikia mzee amesema Harry hatapata tena kile alichokuwa anapata kama mgao Kutoka Cornwall estate. Je Harry akiamua kuacha vyote na kuendelea na maisha yake kisha akamwaga mboga si utakuwa fedhea kubwa kwa royal family??? Je kama kuna mazito Kuhusu familia Harry anayajua na akaamua kuyaweka Waziri itakuweje??

Kuhusu kutokumwambia bibi yake Kuhusu mioango yake sioni kama ni kosa maana yule ni mtu mzima Sasa na familia yake. Na nadhani baada ya wedding mambo hayajawa mazuri sana kati ya Harry na wanafamilia wenzake.
 
Mkuu nimekuelewa sana hapo lakini kitu ambacho wanafichaficha ni kuwa hakuna mahusiano mazuri kati ya ndugu wawili Will na Harry na ni kwa ajili ya wake zao
William amesema nilimkumbatia mdogo wangu kwa dhati maisha yangu yote lakini kwa sasa imetosha”
Hapo utajua kuna tatizo kubwa ndio maana wanakutanishwa kesho na Meghan atakuwa live kwenye link maana yupo Canada kwa mwanae Archie

Mkuu kujitenga sawa lakini nani atawachunga au wataajiri walinzi wao kutwa
Hawawezi kufanya kazi zao kama wakijitoa maana hili ni million dollar question
Tusubiri tuone ila Harry ameitendea haki kazi za familia

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Lakini mkuu kwani wameachana na familia???mbona Harry kasema wataendelea kumuheshimu malkia na kumsuport kwa Kila kitu. Mimi pamoja na mengine nadhani Harry ameona hapewi ile heshima anayostahili ikiwa ni pamoja na mke wake kuandamwa na mapaparazi na familia kukaa kimya bila kusema lolote.

Nadhani kuna sehemu ukisema Harry anahofia yanaweza kujirudia ya mama yake.

Sasa mkuu ikitokea Malkia akakataa maamuzi yao na wao wakashikilia HVO HVO itakuweje??

Nasikia mzee amesema Harry hatapata tena kile alichokuwa anapata kama mgao Kutoka Cornwall estate. Je Harry akiamua kuacha vyote na kuendelea na maisha yake kisha akamwaga mboga si utakuwa fedhea kubwa kwa royal family??? Je kama kuna mazito Kuhusu familia Harry anayajua na akaamua kuyaweka Waziri itakuweje??

Kuhusu kutokumwambia bibi yake Kuhusu mioango yake sioni kama ni kosa maana yule ni mtu mzima Sasa na familia yake. Na nadhani baada ya wedding mambo hayajawa mazuri sana kati ya Harry na wanafamilia wenzake.
Bibi Kaumia kwa nini Harry hakumshirikisha kabla kwani Huyo ndiyo Mjukuu pendwa wa Bibi.. Anampenda mno Harry.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harry mwanaume wa shoka.

Mamake hakulindwa, yeye ameamua kutoa funzo la jinsi ya kulinda mke.

Privacy yake haikulindwa utotoni, yeye analibda privacy ya mwanae.

Enyi wana wa Adam, jifunzeni toka kwa Harry na Meghan jinsi ya kujitoa kwa ajili ya familia yako mwenyewe (mkeo/mume na watoto).

Kumbuka:
*Babako ana familia yake.
*Mamako ana familia yake.
*Kakako ana familia yake.
*Dadako ana familia yake.
*Binamu yako ana familia yake.
*Babu yako ana familia yake.
*Bibi yako ana familia yake.
*Rafiki yako ana familia yake.
*Jirani yako ana familia yake.
 
Bibi Kaumia kwa nini Harry hakumshirikisha kabla kwani Huyo ndiyo Mjukuu pendwa wa Bibi.. Anampenda mno Harry.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bibi kaumia???yeye Harry haumii jinsi mke wake anavyoandamwa na wanahabari hukumu familia nzima ipo kimya??? Wamwache Harry na Meghan wake...wao wanachojali ni heshima ya Royal family tu hawajali jingine..

Ndo maana hawakujali jinsi mama yake na Harry alivyokuwa anaumizwa mpaka kifo chake. Wakwende hukoooo.

Ninachoamini kuna genuine love btn Harry and Meghan...wanaosema wataachana watasubiri sana.
 
Mkuu sijaelewa hapo kwa waliozaliwa kabla na baada ya 2013
Swali zuri. Kabla ya 2013 ufalme wa Uingereza ulirithiwa na mzaliwa wa kwanza wa kiume; endapo mfalme/malkia hakuwa na mtoto wa kiume basi urithi ulienda kwa mtoto wa kike mfano mzuri akiwa Malkia aliyepo madarakani kwa sasa - baba yake hakuwa na mto wa kiume.

Mwaka 2013 wakaona ujinga, kwamba wao kama taifa lililo mstari wa mbele kuhubiri usawa wa kijinsia inakuwaje wawe na sheria ya kumwona mtoto wa kiume kuwa bora kuliko wa kike? Kwamba mtoto wa kiume aliyetanguliwa kuzaliwa na dada zake anapewa privilege ya urithi kuliko dada zake waliomtangulia! Ndipo mwaka huo wakabadili sheria ikawa "mzaliwa wa kwanza" regardless of gender.
 
Back
Top Bottom