Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kujiondoa katika familia ya Kifalme (Royal Family)

Hii couple inaongoza kwa kufatiliwa sijui watafanya nn ili kupunguza attentions za wadaku

Yaani ni mtihani kwao
Harry alisema anaogopa na Meghan akawa kama Mama yake
Anamuogopea sana mke wake
Yaani kafika tu huko na kuanza kuwaambia paparazzi atawafungulia mashtaka

Ukiwa maarufu na kuanza kujionyesha sana lazima wakutafute ili wauze habari zako

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[/QUOTE
 
Bora waamue wakae ndani mwezi mzima kupoteza attention au wajiexpose watu wawazoee badae watawaacha tu
 
Bora waamue wakae ndani mwezi mzima kupoteza attention au wajiexpose watu wawazoee badae watawaacha tu

Na mimi nashangaa maana hata title wameziacha
Lakini ukiangalia tena huo ulinzi ndio tatizo maana wanachungwa sana
Diana nakumbuka kina Harry na Will walipokuwa wadogo alikuwa anawapeleka McDonald’s karibu na nyumba yake ya Kensington na alikuwa analazimisha kujichanganya na watu huku akikataa ulinzi

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom