Gfive_5
Member
- Nov 24, 2018
- 13
- 9
Nakuunga mkono chiefNikiangalia saikolojia ya Harry naona kabisa kuwa anaamini royal family ilihusika na kifo cha mama yake, Princess Diana. Ndiyo maana mara zote amekuwa akifanya vitu vya kitofautitofauti ili kumalizia hasira zake. Hata kumuoa Meghan nadhani, pamoja na mapenzi, ilikuwa kuikwaza tu familia yake kwa kuingiza damu ya mtu mweusi katika ukoo wa kifalme wa Uingereza.