Hapana mkuu,hata kama ningekuwa domo zege,mbona siku hizi wanatufuata wenyewe!ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haha ha ha ha ha ha ha ha... Hio kali sana mkuu... Bwana Jaguar upo sawa sana mkuu.. Lakin inaonekana una uzoefu fulan kny kupurchase haya madege yasoliwa
Hapana mkuu,hata kama ningekuwa domo zege,mbona siku hizi wanatufuata wenyewe!
hahahahahaaaa..uuwwiiii! ukichunguza kiundani huyo mwana mahesabu ni mchaga au ana element za uchaga..
sitaki kuimagine vile huyo dada alikosa pozi
Umeanza tena ee..