Mwanakijiji: Party iko cancelled

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Ukisikia Political correctness ndio haya, hii ilikuwa nafasi nzuri zana kwa mabrazameni wa D-TOWN kujichanganaya na ma redbones lakini wapi....

anyway mimi hii nilihisi tu inaweza kuja kuwa conrovesho tangu nilipoiona ile invitation Card

Can you imagine Dtown kuna ma redbones wangapi? halafu entry ni free ila wale wajaluo ndio inabidi walipe

Noma!

sasa MKJJ wikiendi watu wanajimwaga wapi?





 
duh.. miye mweusi kama mpingo...

mjomba umemiss the point

Jamaa FREE ENTRY ni kwa ajili ya MADEMU ambao ni RED BONES halafu wale weusi tiii inabidi walipe na of course sie si unajua sie market yetu bado iko juu hivyo wanaume ni wote

sasa PC briigade waishaibebe bango na party imefutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…