Mwanakijiji Afunguka Kuhusu Padri Aliyepotea

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,792
Reaction score
40,579
Mwanakijiji wa kijiji cha Mawa, kata ya Hanga wilayani Namtumbo, amefunguka kuhusu Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, aliyepotea tangu Oktoba 9.

Mwanakijiji huyo amesema kuwa alimkuta padri akiwa amedhoofika na kumsaidia kwa kumpa maji kabla ya kumtoa msituni.

Ukimsikiliza mwanakijiji wao ndio waliogundua uwepo wake..
Lakini Rpc kaja na hekaya zake za askari wabobezi wauchunguzi !!!
 
Mwanakijiji wa kijiji cha Mawa, kata ya Hanga wilayani Namtumbo, amefunguka kuhusu Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, aliyepotea tangu Oktoba 9.

Mwanakijiji huyo amesema kuwa alimkuta padri akiwa amedhoofika na kumsaidia kwa kumpa maji kabla ya kumtoa msituni.

Pumbavu
 
Back
Top Bottom