MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

jamani mbona twabaguana hatamimi hamnitaji? ila mm wote nadizimikieni.
 
Mkuu kabanga

Sababu anajibu kwa ufupi sana na anaeleweka, na huwa najitahidi niwe na majibu mafupi kama yake ila nashindwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…