hii itakua kama vuta ni
kuvute vile..! na mpaka ije kucost maisha ya mtu ndio viongozi wao
watakapo jua ukilea kidonda utakuja kukata mguu..! uhasama huu mdogo
mdogo ukiendelea iko siku mtakuta polisi kama tisa wamekufa na hapo
jamaa nao watataka kurevenge ndio hapo ngoma itakapo anza rasmi..! mimi
sio nabii ila hilo linaweza kufika uko..!?