Mwanajeshi wa kulinda amani kutoka Tanzania auawa Jamhuri ya Afrika ya Kati

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Walinda amani wa JWTZ walishambuliwa kwa kupigwa ambush na vikosi vya kigaidi huko Afrika ya kati na kupelekea kusababisha kwa majeruhi saba (7) na kifo cha mmoja (1).

Shambulio hilo lilifanyika hapo jana mida ya jioni. Hata hivyo majeruhi walichukuliwa na kupelekwa hospital moja iliopo Uganda kwa huduma zaidi.

Kwa habari zaidi endelea kuwa karibu na TV yako.

======

A UN peacekeeper from Tanzania was killed and seven others wounded when their patrol was ambushed by gunmen in the Central African Republic, UN officials said Monday.

UN spokesman Stephane Dujarric said gunmen believed to be from the Siriri militia attacked the UN patrol on Sunday in the village of Dilapoko in southwest Mambere-Kadei prefecture.
One of the wounded peacekeepers is in critical condition at a Bangui hospital while three others were seriously wounded, he added.

Three other peacekeepers from the MINUSCA mission are being treated in the local town of Berberati.

UN Secretary-General Antonio Guterres strongly condemned the attack, which brings to four the number of peacekeepers killed in the Central African Republic this year.

MINUSCA has 12,000 troops and police deployed in the impoverished country, which has been struggling since it exploded into bloodshed after the 2013 overthrow of longtime leader Francois Bozize.

CAR President Faustin-Archange Touadera governs with the support of the large UN peacekeeping operation, yet can only claim to control a fraction of the country.


Source: Daily Monitor
 
Hii kweli ni shida na raha kasoro avatar ndo raha tuu!!!
 
Hivi huko kuna vikosi vya Wabongo tu?
Kwanini vikosi vingine hawashambuliwi mara kwa Mara namna hii?
 
Walinda amani wa JWTZ walishambuliwa kwa kupigwa ambush na vikosi vya kigaidi huko Afrika ya kati na kupelekea kusababisha kwa majeruhi saba (7) na vifo mmoja (1).

Shambulio hilo lilifanyika hapo jana mida ya jioni. Hata hivyo majeruhi walichukuliwa na kupelekwa hospital moja iliopo Uganda kwa huduma zaidi.
Kwa habari zaidi endelea kuwa karibu na TV yako.
Rekebisha hapo majeruhi ni kumi
 
Back
Top Bottom