Mwanajeshi Wa Israeli akamatwa

Mwanajeshi Wa Israeli akamatwa

Status
Not open for further replies.
Hivi hawa wapalestina (warabu) wanafikiria nini? kuwa anaye pata madhara makubwa ya vifo na mali ni nani!!! hizi imani nyingine bwana ni hatari, na kwa kumkamata huyo mwanajeshi mmoja tu wao watakufa mia!! na ni kwanini wanatumia binadamu kama ngao yao?!! na ndio inapelekea vifo hivi ambavyo havina msingi wowote ule.Wanakuja kukubali truce wameshakufa mia 6, huo si ujinga? na wao hamasi wanawazuia raia wa kawaida kuyahama maeneo ya vita ambayo wao hamasi wanayatumia kurushia maroketi yao wakitegemea israel haitafanya mashambulizi maeneo ambayo kuna raia!!! Jamani wakati mwingine kuna msemo unasema IF U CANT BEAT THEM JOIN THEM!!
 
Vita haina fomyula wala makubaliano. Kichapo tu mpaka mmoja aseme poo, mambo ya medani kila mmoja ana mbinu zake
 
hivi hawa wapalestina (warabu) wanafikiria nini? Kuwa anaye pata madhara makubwa ya vifo na mali ni nani!!! Hizi imani nyingine bwana ni hatari, na kwa kumkamata huyo mwanajeshi mmoja tu wao watakufa mia!! Na ni kwanini wanatumia binadamu kama ngao yao?!! Na ndio inapelekea vifo hivi ambavyo havina msingi wowote ule.wanakuja kukubali truce wameshakufa mia 6, huo si ujinga? Na wao hamasi wanawazuia raia wa kawaida kuyahama maeneo ya vita ambayo wao hamasi wanayatumia kurushia maroketi yao wakitegemea israel haitafanya mashambulizi maeneo ambayo kuna raia!!! Jamani wakati mwingine kuna msemo unasema if u cant beat them join them!!

ni kawaida kwa israeli wanapopambana na palestina wengi katika raia wapelestina upoteza maisha kwa vile wapalestina hawana na hawaruhusiwi kimataifa kuuziwa silaha. Lakini israeli mwaka huu imeshtushwa kwani mpaka sasa askari wake 18 wameshakufa katika uwanja wa vita na mmoja ametiwa nguvuni. Hili ni pigo kubwa kwa israeli imeonyesha jinsi gani walivyokuwa hawawezi vita vya ardhini dhidi ya wanamgambo. Hamas wanajitahidi kupiga kwa target yaani kushambulia wanajeshi na si raia wa israeli ni tofauti na israeli kwao ni sawa kuua raia au mwanamgambo
 
Uislamu ni ushetani
 
Hamas ni magaidi makubwa wateketezwe kabisa

Unatishwa na kimvuli wewe kama wanavyotishika waisrael. Watapigwa ila hawatakwisha n hawatashindwa. Kikubwa ni muda, na waisrael waanalifahamu hilo. Kizuri zaidi ni kwamba maroketi yote yanayorushwa na hamasi wameyatengeneza wenyewe. Sasa ngoja siku wakija kupata uwezo wa kija kutengeneza bomu la NUCLEAR. It is just a matter of time.
 
Uyahudi kwishaaaa mujahid hamas karibu watafanikiwa.
Wazayuni watabaki kuua watoto na wanawake vijana wa hamas ni imara kabisa.
Juu ya vikwazo na silaha zao za viwanda mfano wa gerezani kariakoo wanapambana na jeshi la kisasa zaidi duniani lenye kila aina ya silaha na technologia.
Karibu ushundi utapatikana..mayahudi waliwakimbia hizbollah na karibu watawakimbia vijana machachari hamas
 
ni kawaida kwa israeli wanapopambana na palestina wengi katika raia wapelestina upoteza maisha kwa vile wapalestina hawana na hawaruhusiwi kimataifa kuuziwa silaha. Lakini israeli mwaka huu imeshtushwa kwani mpaka sasa askari wake 18 wameshakufa katika uwanja wa vita na mmoja ametiwa nguvuni. Hili ni pigo kubwa kwa israeli imeonyesha jinsi gani walivyokuwa hawawezi vita vya ardhini dhidi ya wanamgambo. Hamas wanajitahidi kupiga kwa target yaani kushambulia wanajeshi na si raia wa israeli ni tofauti na israeli kwao ni sawa kuua raia au mwanamgambo
Zile rocket wanazorusha Hamas isingekuwa Iron Dome unadhani ni nini kingetokea? halafu unadanganya watu humu eti Hamas wana target raia kana kwamba we ndio mwenye media mwenyewe acha propaganda za uongo...
 
zile rocket wanazorusha hamas isingekuwa iron dome unadhani ni nini kingetokea? Halafu unadanganya watu humu eti hamas wana target raia kana kwamba we ndio mwenye media mwenyewe acha propaganda za uongo...

wewe unajua unachokisema? Hiyo iron dome imeharibu rocket ngapi zilizorushwa? Kwa ufupi baada ya israeli kuanza kuharibu miundo mbinu kama ya maji!!!, umeme!!! Barabara!!! Na makazi ya watu,. Ndio hamas wakaanza target kinu cha nuclear ambacho walikikosa kidogo sana la sivyo historia ingekuwa nyingine. Baada ya hapo hamas wakaanza kutarget kama walivyo fanya israeli iasipokuwa makazi ya watu. Kuna video recorded aljezeera naomba muangalie muelewe hali ilivyo gaza. Ni kwamba mpaka sasa israeli bado hawajapenya ngoma ya hamas huko gaza na hamas walisema kabla israel haijaanza vita ardhini kuwa wategemee wanajeshi wao kuuwawa, kujeruhiwa na kutekwa. Hawakusema kuhusu kufanyika shambulizi la raia wa isareli . Nakuomba anaglia aljezeera kuna maojiano kati ya bbc na hamas.
 
Wa bongo bwana tumedumazwa na ushabiki wa CDM na CCM,Israel vs Hamas?!Just a matter of time, kutekwa Muisrael si ishu
 
wewe unajua unachokisema? Hiyo iron dome imeharibu rocket ngapi zilizorushwa? Kwa ufupi baada ya israeli kuanza kuharibu miundo mbinu kama ya maji!!!, umeme!!! Barabara!!! Na makazi ya watu,. Ndio hamas wakaanza target kinu cha nuclear ambacho walikikosa kidogo sana la sivyo historia ingekuwa nyingine. Baada ya hapo hamas wakaanza kutarget kama walivyo fanya israeli iasipokuwa makazi ya watu. Kuna video recorded aljezeera naomba muangalie muelewe hali ilivyo gaza. Ni kwamba mpaka sasa israeli bado hawajapenya ngoma ya hamas huko gaza na hamas walisema kabla israel haijaanza vita ardhini kuwa wategemee wanajeshi wao kuuwawa, kujeruhiwa na kutekwa. Hawakusema kuhusu kufanyika shambulizi la raia wa isareli . Nakuomba anaglia aljezeera kuna maojiano kati ya bbc na hamas.
wewe usidhani TV unazo wewe mwenyewe na wale wanajeshi wa Israel wanaoonyeshwa wameingia hadi kule kwenye mahandaki unataka kusema ni uongo?

Halafu hao Hamas si ndio wanatumia raia wao, wakati Israel wanalinda raia wao, wewe hujui idadi ya rocket zilizorushwa kuelekea Tel Aviv!?
 
naomba angalia aljazeera muda huu. hiyo kusema Israeli wanalinda raia wao na Hamas watumia raia wao ni Propanda za Kimagharibi ili kuipa ruhusa Israeli wauwe raia wakati si kweli. tembelea aljezira utaona Gaza wanashangiria kutekwa kwa askari mwenye silaha za kisasa na mgambo wakiwa kwenye sare zao za kimgambo wala hawavai nguo za kiraia na wanatambulika kama wapo vitani kwenye magari yao. mzee wanadai uhuru wao, wanataka palestina huru kama ilivyokuwa South africa kipindi cha makaburu vipi mzee angekuwa Nyerere angelaani kama walivyolaani UN wewe unafalsafa zipi?.
 
Uyahudi kwishaaaa mujahid hamas karibu watafanikiwa.
Wazayuni watabaki kuua watoto na wanawake vijana wa hamas ni imara kabisa.
Juu ya vikwazo na silaha zao za viwanda mfano wa gerezani kariakoo wanapambana na jeshi la kisasa zaidi duniani lenye kila aina ya silaha na technologia.
Karibu ushundi utapatikana..mayahudi waliwakimbia hizbollah na karibu watawakimbia vijana machachari hamas

Raia wanateketea ninyi mnashangilia kuteka askari mmoja.!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom