crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,210
Filosofi ya kivita ya kiyahudi zama za nyuma ilikua ni kuhakikisha unaingia ardhi ya adui na baadae unatafuta suluhu huku ukiwa ndani ya ardhi ya adui ili iwe ndio bargaining chip yao.
Walifanya hivi misri syria lebanin na jordan.
Sasa mbinu hio haifai tena. Sasa wamekuja na mbimu mpya ambayo ni ikitokea vita basi njia bora ni kuharibu miundo mbinu ya kiraia
Kuua watoto kwa wingi sana
Kuua wanawake sanaa
Kupiga sehemu za wakimbizi
Kuuharibu hospital ili majeruhi wasitibiwe.
Haya wanafanya ili kutia hofu na kulazimisha suluhu kwa masharti yao.
Utakumbuka haya ni uharamia wa kivita na kisheria za kimataifa wanawajibika lakini kwa vile taifa hili harani surogate state ya usa basi linalindwa hata likifanya uhalifu wa aina gani.
Hamas wamejua ugaid huu wa kizayumi hivyo wanazidi kujizatiti kila siku ziki songa.
Propaganda za kuwa hamas wana wawafanya raia kama kinga.
Ukweli gaza ni miji miwili.
Moja ni gaza ya juu ambayo raia ndo wanaishi.
Ya pili ni gaza ya chini ya ardhi.
Chini ya gaza kuna mji mwengine unazunguka chini ya ardhi ya gaza mpaka isreal. Huku wanaishi wakakamavu hamasi.
Hizi handaki ni miji ya chini kwa chini huko hufanya mazoezi ya ukamandoo.
Ikitokea vita hamas wako chini na hutoka kushambulia tu.