Mwanajeshi Mmarekani aliyekamatwa na mabomu mpakani Sirari igizo hilo limeishia wapi?

Mwanajeshi Mmarekani aliyekamatwa na mabomu mpakani Sirari igizo hilo limeishia wapi?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,947
Reaction score
74,429
Vyombo vyetu vya usalama kumbe wakati mwingine wale wanaovidharau na kuvikebehi wanastahili kusikilizwa.

Inakuwaje jambo Zito kama hilo wanaleta taharuki kumbe hakuwepo na hata linalo fanana nalo.

Mnatuletea picha za mtu kavaa kaunda suti zake unifomu ya uhudumu wa ofisi eti ni Comando wa US Army kakamatwa Kuja kuleta maafa.

Kisha kimyaaa, mnatuonaje nyie?

Hapo ndio mnapo fanya watu wawadharau maana ni utoto huo.

Unless taarifa zimetolewa za nini kinaendelea na wengine hawajazipata
 
Wenye mwananchi wao wameweka bayana kwamba wanajeshi wao huwa hawakatwi na watu wageni
 
Mwanajeshi gani wa marekani hana nuru usoni!!?? Wamempanga muuza sumu za panya wa huko chunya ndani ndani eti ndio komando wa marekani, komando wa nyoko.
 
Wenye mwananchi wao wameweka bayana kwamba wanajeshi wao huwa hawakatwi na watu wageni
Mshana Jr siku zinavozidi kwend IQ yako imekua kama Law of diminishing Marginal Utility. Raia wa kigeni anakamatwa vizuri tu ila PGO imeweka exception kwa baadhi ya mataifa kuwa wakikamatwa basi embassy zao zitataarifiwa tuu tena anayewataarifu ni DPP baada ya kupewa taarifa na DCI binafsi nawafahamu wafungwa wamarekani wapo katika magereza ya bongo wamefungwa kwa makosa mbalimbali na US inawahudumia kama raia wake hatuhitaji kutumia sheria za nchi anayotoka muhalifu.
Soma Police General Order P.G.O 355 paragraph 1-5


IMG_0860.jpeg
 
Back
Top Bottom