Hawa ndo vijana wa dar, huwa wanakera sana, huyo mjeshi ninampongeza na ingekuwa uwezo wangu ningemhamisha mkoa tu aendelee na shughuli zake. Ditopile alipompiga risasi mtu tulidhani ni mjinga, haya ndo matokeo. Laiti watu wengi wenye magari wangefanya kuwaua vibaka au wapuuzi kama hawa vijana wangeishajifunza.
Ngoja tupate serikali imara tutawaondoa dar warudi kulima.
Sometimes you got to fight to be a man....Kenny Rogers.
Angewategua viuno na magoti inatosha ili wasimulie maisha yao yote.
kwa ditopile hapo umekunya.Hawa ndo vijana wa dar, huwa wanakera sana, huyo mjeshi ninampongeza na ingekuwa uwezo wangu ningemhamisha mkoa tu aendelee na shughuli zake. Ditopile alipompiga risasi mtu tulidhani ni mjinga, haya ndo matokeo. Laiti watu wengi wenye magari wangefanya kuwaua vibaka au wapuuzi kama hawa vijana wangeishajifunza.
Ngoja tupate serikali imara tutawaondoa dar warudi kulima.
wanakera mm mwenyewe
jana wamenpasulia kioo changu cha gari cha nyuma kwa upande wng
amewaadabsha...
umejitahidi kwa kiasi chako kuandika vizuri lakini nashangaa dharau zenu kwa sekta ya kilimo zinatoka wapi mpaka mdhani kuwa ni kazi ya 'vibaka' na watu walioshindwa maisha!Hawa ndo vijana wa dar, huwa wanakera sana, huyo mjeshi ninampongeza na ingekuwa uwezo wangu ningemhamisha mkoa tu aendelee na shughuli zake. Ditopile alipompiga risasi mtu tulidhani ni mjinga, haya ndo matokeo. Laiti watu wengi wenye magari wangefanya kuwaua vibaka au wapuuzi kama hawa vijana wangeishajifunza.
Ngoja tupate serikali imara tutawaondoa dar warudi kulima.