Mwanajeshi aua Pugu-Kigogo

Wameyataka wenyewe.
Sema huyo mjeshi angepiga risasi juu.

Ha wewe si umeambiwa ni mjeda? sasa kupiga risasi juu angeaje? wale wanalenga kichwa na kifua, polisi ndio wanalenga miguu au kupiga risasi juu.
 
Na wauawe tu mani aliwatuma wapasue vioo vya magari ya watu. Gari la kampuni ya mwananchi pia lilipasuliwa kioo
 

Ha wewe si umeambiwa ni mjeda? sasa kupiga risasi juu angeaje? wale wanalenga kichwa na kifua, polisi ndio wanalenga miguu au kupiga risasi juu.

Hahhhaaha kweli mkuu
 
Wanakera mm mwenyewe Jana wamenpasulia kioo changu cha gari cha nyuma kwa upande wng amewaadabsha...
 
Kwani hao vijana walikuwa na silaha? Kwa nini hakuita polisi wawakamate? Hata hivyo siyo vizuri kumfanyia masihara mtu usiyemfahamu maana kukudhuru ni rahisi hasa kama ana stress ametoka nazo kwa mkewe/mumewe/ ofisini.
kwa mfano alivyodhani yeye ingekuwa kweli (majambazi) huo muda wa kuita polisi ili waje baada ya Siku nzima angeutoa wapi wakati yeye alikuwa anaokoa roho yake?
 
Hahhhaaha kweli mkuu

Watu wakiwa na familia time za no clear vision "wanadozi chamber" sasa ngulubangi wanazingua stimu tu kuharibiana mingo kama hivyo !!!!!!!!

Hapo mtu mzima alishaingia zone ya mark and shoot kwa hiyo kila aliyetingishika unajua "labda huyu ndio anayo" mpaka adrenaline rush ikipata dilution kwenye damu tayari magazine iko nusu sasa kuna nini hapo!!!!!!

Aaaaanh Mungu atuepushe sana!!!!!
 
Act of self defence,afande amefanya vema

Iwe fundisha kwa vijana next time wasisumbue watu na familia zao
 
Wawania Urais kwa kupitia wana bodaboda wawape elimu ya kutosha sana hawa watu!

Cc:Edward Lowasa, Pasco wa JF ,January Makamba , Kamisaa

Nafikiria watu wanoataka kuwatumia hawa jamaa kama ngazi ya kuingilia ikulu, sijui itakuwaje siku waendesha bodaboda hayo watakapokuwa disillusioned, wataenda ikulu na pikipiki zao kumuondoa huo waliyemuweka. Hawa jamaa ni rogues, rascals, hooligans, thugs, ruffians all rolled up in one.

Anayewatukia hao atakuja kulia kilo cha mbwa, mana yake atalia mdomo kuingilia juu
 
Last edited by a moderator:
kwa mfano alivyodhani yeye ingekuwa kweli (majambazi) huo muda wa kuita polisi ili waje baada ya Siku nzima angeutoa wapi wakati yeye alikuwa anaokoa roho yake?

Mkuu hili suala kwa muelewa wa silaha wala halina shida sana kutambua nini kiliingia kichwani mwa shooter!!!!!!

Mtu anayekuuliza alijuaje kama wana silaha ni yule anayesubiri awe at gun point ndio ajue kuwa mtu anayo,kwa wengine ukiiona maana yake you are half way dead sasa nani kakuambia njia ya kifo ina u-turn!!!!??????
 
Hawa vijana wa dar kama wamelogwa. Yaani wanakaa barabarani high way gari inawapisha wao badala ya wao kupisha gari. Halafu ikipita wanagonga kwanyuma nyingine wanavunja vioo. Jana walikua wanafanya fujo sio kusherehekea. Niliiona pale external

Afande si alitangaza kutakuwa na helikopta maalumu jiji za kuchunga doria za waleta fujo ktk kusheherekea au ilikuwa porojo tu!?
 
Kwani hao vijana walikuwa na silaha? Kwa nini hakuita polisi wawakamate? Hata hivyo siyo vizuri kumfanyia masihara mtu usiyemfahamu maana kukudhuru ni rahisi hasa kama ana stress ametoka nazo kwa mkewe/mumewe/ ofisini.

Sijakuelewa mkuu. Ina maana weye hukuona vioja vya vijana jana? Magari yamevunjwa vioo, vibaka nao hawakujivunga wakajichukulia nafasi kuchomoa vitu vidogo vidogo huko kwenye vioo vilivyo vunjwa.
Unathubutu kuuliza kama hao vijana walikuwa na silaha? Ngomi hukaa nyumbani? Hiyo sio silaha? Nampa heko huyo mjeshi. Watu wajifunze kusherehekea mambo yao kwa ustaha kidogo.
 
Hawa ndo vijana wa dar, huwa wanakera sana, huyo mjeshi ninampongeza na ingekuwa uwezo wangu ningemhamisha mkoa tu aendelee na shughuli zake. Ditopile alipompiga risasi mtu tulidhani ni mjinga, haya ndo matokeo. Laiti watu wengi wenye magari wangefanya kuwaua vibaka au wapuuzi kama hawa vijana wangeishajifunza.

Ngoja tupate serikali imara tutawaondoa dar warudi kulima.
 
Inasikitisha vijana yawapasa kubadilika kwa mtindo huu watapoteza maisha wengi
 
kama hawakuwa na silaha yoyote hakuwa na haki ya kuwauwa
kipiga gari peke yake sio ishara ya kuwa wao ni majambazi au vibaka
jana ilikuwa mwaka mpya na lazima alijua vijana wanashehereka ingawa kwa fujo.
angekuwa na uwezo wa kuchapa kwanza makonde au kufyatua kwanza risasi juu kuwatisha waondoke
Huyu hawezi kuwa na defence ya self defence.
Hii ni murder case na he should be hanged to death
may God have mercy on his soul pindi atakaponyongwa.
tukiwaachia hawa wajeshi watakuja hata kukulia nyumbani kwako.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…