Habari haijathibitishwa popote. Hamna jina LA mgonjwa, jina LA daktari wala Polisi hawajapata taarifa.Habari tulizopata toka mwitongo kkwa Mwlm nyerere , Mwanajeshi mmoja amemshushia kichapo daktari aliyekuwa zamu kuhudumia wagonjwa ktk hospital iliyopo apo mwitongo ...
Jina na kambi anayotoka uyo mwanajeshi haijaeleweka.
source:whattsapp group.
Nimempigia simu mtu wa uko ,,kaniambia ni kweli na inshu imefika polisiMwitongo hakuna hospitali wewe acha uongo rudi huko Whatsapp kwako uangalie hiyo ripoti vizuri isitoshe naifahamu sehemu unayoizungumzia...
wengine tumezoea kupaita butiama(mwitongo)Mwitongo hakuna hospitali wewe acha uongo rudi huko Whatsapp kwako uangalie hiyo ripoti vizuri isitoshe naifahamu sehemu unayoizungumzia...
Ukweli mtupu.Uongo mtupu
Unakosea.... unafahamu maana ya neno MWITONGO.??wengine tumezoea kupaita butiama(mwitongo)
Ok abadilishe hapo asiseme hospitali ya mwitongo ila ya Butiama...Nimempigia simu mtu wa uko ,,kaniambia ni kweli na inshu imefika polisi
mwitongo ni mahame.,nimesema wengine tumezoea kupaita butiama ,mwitongo ,,sio ajabu ukisikia mtu akikwambia anasafiri kwenda mwitongo uku akimaanisha butiamaUnakosea.... unafahamu maana ya neno MWITONGO.??
Sawa ,,badala ya mwitongo itumike butiamaOk abadilishe hapo asiseme hospitali ya mwitongo ila ya Butiama...
Habari tulizopata toka mwitongo kkwa Mwlm nyerere , Mwanajeshi mmoja amemshushia kichapo daktari aliyekuwa zamu kuhudumia wagonjwa ktk hospital iliyopo apo butiama
Jina na kambi anayotoka uyo mwanajeshi haijaeleweka.
source:whattsapp group.