Mwanajeshi amshushiakichapo daktar wa zamu

Mwanajeshi amshushiakichapo daktar wa zamu

Jinga wewe.Mwitongo ni mahame na kuna minyani na mitumbili tu.Usitake kumuongezea kesi Mr Melo wa JF nyok.o wewe!
Safi sana maana ni mbishi na mgumu wa kuelewa kweli kang'ang'ana eti Mwitongo,Mwitongo namueleza hataki kuelewa...
 
Habari haijathibitishwa popote. Hamna jina LA mgonjwa, jina LA daktari wala Polisi hawajapata taarifa.
Habari kama hii inaitwa DOA JF.
Moderator naomba muiondoe jukwaani Habari hii ya uzushi
Kweli mkuu iondolewe faster,hizi ndio aina ya post zinazowanza kina Melo....the source is not reliable na hata mtoa post ni kama hajiamini na alichokipost.
 
Hivi hii tabia ya kipuuzi ya wanajeshi kupiga raia itaisha lini? hii nchi ina matatizo mengi sana kuanzia uongozi mpaka kwa wananchi
Mkuu jaribu kufanya uchunguzi kwanza kabla ya kuanza kutoa malalamiko,,,jaribu kuangalia source ya hii habari ni whtsup......'.
 
Back
Top Bottom