Hawa wanawake wanakera sanaShuhuda amesema jamaa alikubari kumpatia nyumba, pia anakatwa kazini 200000/= kwa mwezi na bado bibie alikuwa anachukua kodi ya nyumba, lakini shuhuda akaenda mbali kwa kusema maneno yasiofaa mtaani mfano "nitamkomesha nk" ukiangalia kilichotokea na saikolojia na jamaa inaonyesha moja kwa moja jamaa kakosewa ndio maana alivyoua alikuwa na ujasiri wa kusema nimeua na polisi alienda mpaka kwa balozi alifika na kurudi mwenyewe tena polisi, sio hasira ila alidhamiria baada ya kukerwa..
MAELEZO YANASEMA JAMAA ALIOA MKEWA PILI MAHAKA NA IKAMWAMBIA AMPATIE MAMA NYUMBA NA KESI INGEISHA 27 MWEZI HUU...... NA SI VINGINEVYO
....Can't live with them; can't live without them....Hawa wanawake wanakera sana
Soma habari mpaka uimalize utakutana na maelezo!sijaelewa hivi hii habari inasema huyu jamaa alipojisalimisha aliwekwa lockup maana naona alijisalimisha halafu akarudi nyumbani kisha akatoka tena saa kumi na mbili asubuhi there is something fishy here
Umeongea kweli lakini umemaliza vibaya kutuita wafunga buti😡Wanajeshi wasaidiwe kisaikolojia,wanafanya kazi kubwa ya kulinda amani,wanapokua huko kwenye mission mbalimbali huwa wanafanya zaido ya hayo!Hivyo wakiwa uraiani yakiwakuta magumu huwa utekelezaji ndo kama yaliyomkuta huyo mfunga buti.
SISOMISoma habari mpaka uimalize utakutana na maelezo!
Hatuui, tunawa-overdoseWanafanyaga nini huko kwenye mission? Wanaua watu?
WANGEKUBALIANA ASINGEDAI BHANAKuoa mke wa pili sio issue, ila ni makubaliano baina ya mke na mme, kama mke haridhiki basi ni bora akaamua kukaa pembeni, suala la kugawana mali wakati jamaa hela limeipatia darful sudan likikwepa risasi kila mara halafu mama anakata nyanya tu nyumbani na usikute jamaa akiwa kwenye mission bado mama anasumbua matumizi halafu mwisho wa siku mtu anaambiwa mgawane mali, kiukweli inauma sana.. nina historia nyingi sana ambazo zimewapa watu mateso kwa ujinga huu wa mama zetu,
Mara nyingi..ukute huyo mwanamke alikuwa anamegwa na msela mwingine nje na mjeda akagundua huku yeye anagharamia kila kitu.
hawajapigwa hao,mbona walipelekewa FFU toka pemba baada ya kuchoma kituo cha polisi,walikula kichapo wakawa wanalia kama wanawake wa magomeni tuLabda poljsi nao waliogopa kuchezea mapanga, maana mkurya akibadilika ni zaidi ya simba.
kama huamini katika mungu(dini) wanawake wa leo si wa kuishi nao,nunua,maliza haja zako,ondoka,ukihtaj watoto waghilibu uzae nao,tunza mtoto....Can't live with them; can't live without them....
itakua walimuona mgonjwa akili,wakaogopa usumbufu,wakamtaka aanzie mtaani kwakeHao polisi ni wazembe sana wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali kwa kumwachia mtuhumiwa kizembe
wajinga haoitakua walimuona mgonjwa akili,wakaogopa usumbufu,wakamtaka aanzie mtaani kwake
hawajapigwa hao,mbona walipelekewa FFU toka pemba baada ya kuchoma kituo cha polisi,walikula kichapo wakawa wanalia kama wanawake wa magomeni tu
wakuryaWatu gani hao walipigwa
ulitaka tujue kua nawe mkurya haya tushajua unataka umaarufu kwenye thread a watuHii habari kwa vile inamhusu mkurya itasambazwa sana kwa lengo la kutuchafua bila kuangalia upande wa pili marehemu na kidomodomo chake.
Acha uongo wewe.hawajapigwa hao,mbona walipelekewa FFU toka pemba baada ya kuchoma kituo cha polisi,walikula kichapo wakawa wanalia kama wanawake wa magomeni tu
Kumbe kuwa mkurya ni sifa, haya mimi ni mkuryaaaaaaaa.ulitaka tujue kua nawe mkurya haya tushajua unataka umaarufu kwenye thread a watu