gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Polisi walikuwa hawaamini wakamwambia akalete barua ya mjumbe a very lousy policing.sijaelewa hivi hii habari inasema huyu jamaa alipojisalimisha aliwekwa lockup maana naona alijisalimisha halafu akarudi nyumbani kisha akatoka tena saa kumi na mbili asubuhi there is something fishy here
yaani nashangaa pale aliposema tu wangemuweka under arrest waende naye ujue muda mwingine mpaka mtu anaua anakuwa na kichaa cha muda anaweza hata kuleta madhara mengine atiiPolisi walikuwa hawaamini wakamwambia akalete barua ya mjumbe a very lousy policing.
Tatizo wakurya hatuna talaka ukioa ndo basi tena,
Ila polisi wa nchi hii pimbi kabisa wanamrudisha mtu afuate barua kwa mwenyekiti wa mtaa wakati amesema ameua.
Nyie wanawake ni tatizo kubwa sana ktk haya maisha, marehemu aliandaa mauti yake mwenyewe, mshahara wa dhambi ni mauti, alikuwa na lengo la kumchuna mumewe kifo kimemchuna yeye.Very sad story. Haya maisha Mungu aingilie kati maana ni balaa tupu.
inaogopesha sana!! Ni kama wanaingiwa na roho ya mnyama mtoa roho za binadamu. Haingii akilini umtendee hivyo mwanadamu mwenzakoMungu atusaidie sisi wanadamu tunaotoa hukumu ya kifo
Yaani mtu kasema ameua, mnamruhusu aende eti akachukue sijui fomu kwa mjumbe??!!! Usikute hata kumsindikiza hawakumsindikiza!!!!😡Itakuwa waliogopa kuwa anaweza kuwageukia na hivyo kusema aende achukue barua angalau kupambazuke. Na ukute alipoondoka walifunga kituo au kukimbia kabisa.
sasa mbona amani ya nyumbani kwakwe kashindwa kuilinda? khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaWanajeshi wasaidiwe kisaikolojia,wanafanya kazi kubwa ya kulinda amani,wanapokua huko kwenye mission mbalimbali huwa wanafanya zaido ya hayo!Hivyo wakiwa uraiani yakiwakuta magumu huwa utekelezaji ndo kama yaliyomkuta huyo mfunga buti.
ajabu la 9 la duniaYaani mtu kasema ameua, mnamruhusu aende eti akachukue sijui fomu kwa mjumbe??!!! Usikute hata kumsindikiza hawakumsindikiza!!!!😡
Only in Tanzania!ajabu la 9 la dunia
Wanasema alipojisalimisha polisi hawakuamini kwa kuwa aliongea kirahisi sana kuwa kaua ndii wakamwambia aje na barua ya mjumbe kuthibitisha ameua...kha only in Tanzania mhalifu anaruhusiwa aende kwa mjumbe kuhakiki kosa halafu arudi kujisalimisha tena kwa kesi ya kuuasijaelewa hivi hii habari inasema huyu jamaa alipojisalimisha aliwekwa lockup maana naona alijisalimisha halafu akarudi nyumbani kisha akatoka tena saa kumi na mbili asubuhi there is something fishy here
hii nji hii ina mambo ya ajabu sanacha ajabu mtu kaenda kituoni kasema 'nimeua' ETI askari wakamwambia aende akalete barua ya mjumbe!!! hii mie sielewi kabisa!
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa kazi yao nini hapo wangemweka chini ya ulinziWanasema alipojisalimisha polisi hawakuamini kwa kuwa aliongea kirahisi sana kuwa kaua ndii wakamwambia aje na barua ya mjumbe kuthibitisha ameua...kha only in Tanzania mhalifu anaruhusiwa aende kwa mjumbe kuhakiki kosa halafu arudi kujisalimisha tena kwa kesi ya kuua
Kweli kabisa blaza!! Sio mambo ya kukimbilia kumlaumu jamaa aiseeHaya mambo nimazito
Na kama hujakutwa unaweza mlaumu jamaa