Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh.....?????????????????????
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha monduli emetiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa melerani wanamtambua kama mwanajeshi. Maswali ya kujiuliza inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavavi kayapata wapi? Je Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi???
Sikilizia litakapokuja ishia hili sakata"hutoamini macho yako"mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh.....?????????????????????
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha monduli emetiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa melerani wanamtambua kama mwanajeshi. Maswali ya kujiuliza inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavavi kayapata wapi? Je Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi???
Lazima atakuwa ni mwanajeshi,ila kwa vile usanii unaongoza hapa nchini lazima mambo yapindishwe
[h=2]Breaking News: Mwanajeshi aliyepiga Picha na Lema Mboroni[/h]Mbona kuna majina ya kichaga yanafanana na hilo?Kichwa cha habari kimeniacha hoi hebu rekebisha hilo neno la mwisho.
Mh.. hiyo kali, lakini nadhani ni spelling mistake!Katiwa mboroni??
yuko kituo gani?
Katiwa mboroni??