Mwanajeshi akutwa amekufa

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,175
Anajulikana kwa jina kama patrick lasway almaarufu kama bepari(20) toka j.k.t-ruvu,alitoka tangu jumamosi alipoomba ruhusa ya kwenda nje ya kambi hakurudi mpaka leo mwili wake ulipopatikana jirani na kambi ukiwa umeshaanza kuharibika kwa kuoza,ni ndugu yangu wa damu na siku hiyo niliongea nae hadi leo ndo nimepewa taarifa za kifo chake,alikua ni form four leaver aliyehitimu mwaka juzi makiidi-rombo na kuamua kujiendeleza,alikua akisubiri intake ya jwtz,haijajulikana chanzo cha kifo chake,mungu amlaze mahala pema peponi amina.
 
kaka pole.. ila heading hukuitendea haki kaka. tena mdogo ako unaita tu 'mwanajeshi' as if unazungumzia stori ya mwngne!
 
Poleni sana....lakini huki ni love connect...nimesoma usingiz wote umekata
 
 
pole sana ila la kulazwa mahali pema peponi hilo halipo, BIBLIA kitabucha mhubiri inasema binadamu hana la kumpita mnyama linalotukia kwa mnyama ndilolinalotukia kwa binadam, ninanianajua roho ya binadam inakwenda ka MNGU nayamnyama inakwenda wapi?.
 
R.I.P Patrick,pole sana kwa msiba wa ndugu yetu,bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
pole sana ila la kulazwa mahali pema peponi hilo halipo, BIBLIA kitabucha mhubiri inasema binadamu hana la kumpita mnyama linalotukia kwa mnyama ndilolinalotukia kwa binadam, ninanianajua roho ya binadam inakwenda ka MNGU nayamnyama inakwenda wapi?.

Kwani wanyama wengine mbali na human being, wana roho...? Wanaweza kunena kwa lugha....? Wanaweza kukemea pepo. Amin, Amin nawaambieni, mtu akiokoka anakuwa kiumbe kipya, mtu ambaye hajaokoka kiroho hana tofauti na mnyama (mammal) mwingine kama ng'ombe, mbwa, nguruwe, simba, paka, n.k.
Mwamini Yesu nawe utaokoka.
 
Duu! pole sana.

Sasa wakiangalia last call wewe si utapata ajira (kuisaidia) polisi?
 
pole sana mkuu, mungu akutie nguvu na uvumilivu during this time of a loss
RIP him
 
Pole sana mkuu. Nafuatilia hlo tukio maana limetokea ndan ya eneo langu la kazi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…