Mwanaharakati huyu akiamua kufanya ziara Afrika mashariki unadhani jiji gani atapata mapokezi makubwa na ya kipekee?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
WanaJF.

Namzungumzia Mwanaharakati Maarufu, Mwanasiasa na Nguli wa Sheria Nchini Tanzania Tundu Lissu. Amefanya ziara nyingi Ulaya na Marekani na kujizolea umaarufu mkubwa Duniani.

Anafahamika Sana kwa misimamo yake inayokubalika Sana na Wafuasi Wake.

Hata hivyo sijawahi sikia akifanya ziara yeyote hapa Afrika achilia mbali Afrika Mashariki.

Najiuliza ikitokea amefanya ziara Afrika ya Mashariki je unadhani ni Jiji gani atapata mapokezi Makubwa na ya kipekee? (Kampala, Kigali, Bujumbura, Nairobi, Mombasa, Juba, Kinshasa, Lusaka, Maputo n.k)

Na je unadhani ziara hizo zitaleta matokeo gani Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii?

Karibuni Sana kwa Maoni.

Tunamuombea Mungu Ampe wepesi wa Afya Yake

.
download%20(1).jpeg
FB_IMG_15715820943067208.jpeg
 
Arudi tu nyumbani maisha yaendelee

Harakati gani anafanya,Nchi yetu ni huru
 
Kaka wa taifa huyo, akifanya ziara Musoma, Singida, Mbeya na Iringa yatatokea madhara, wengi wanaweza poteza pumzi kwa msongamano. achana na hayo majiji makubwa
 
Back
Top Bottom