Mwanahalisi

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,194
5,598


mTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE




It is better to die standing than to live on your knees.
-Ernesto Che Guevara
 
Ama kweli serikali tawala


ni JANGA KUU kwa Watanzania

tunaoambiwa tuko huru kwa miaka 50.
 
Taifa letu kwasasa linakumbwa na misukosuko ya kila namna ikiwemo migomo ya waalimu,madaktari,mauaji ya albino,mateso na utekaji watetezi wa haki za watu(Ulimboka na Kubenea),uchomaji moto makanisa znz,na kufungiwa magazeti(Mwanahalisi)!! Mambo yote haya ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu na maisha ya watu wake. Dalili zote zinaonyesha kushindwa kwa mfumo na ukomo wa kufikiri kwa viongozi wetu waliopo serikalini na ktk chama tawala CCM! Wasipokiri kushindwa basi wakti utawatoa hakika! I can't wait to see it happen 2015!!!!
 
Uko wapi Cacico!? Come this way kama utakuwa bado hujapigwa BAN for calling me the most stupid ever!?
Hii nchi hovyo kweli, alienda hata kumwona hospital!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…